FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,039
- 40,701
Inahusiana na hizo suti, anyway, hawana shule.
Inahusiana na hizo suti, anyway, hawana shule.
Tatizo shule baba..Mwenye shule una sports academy ya wasomi nini?
Shule muhimu mjomba, hata kama unacheza rede, achilia mbali soccer. Na suti ndio kichaka pekee kilichobaki cha kujifichia.kuna watu hata kuwa quote hupaswi, asa hii mada na shule wap na wapi? Au suti na shule wap na wap? Mpira na shule wap na wap? Unakuta hata hujatuzd elimu kisa umefkisha CW ya kiswahili unakuja kubwabwaja humu
Muulize Mike tyson, atakuelezea umuhimu wa shule kwa wanamichezo. Tatizo la Tyson (wanamichezo/wanamziki kama diamond) ni shule, Tyson ilibidi awe mbali sana kimaisha.Shule sio kila kitu kwa binadamu.
labdawanaweza kufanya maajabu...
Shule bila pesa ni majanga vilevileTatizo shule hawana, suti ndio kimbilio pekee lililobaki
Halafu akaamini kama zuzu bila kujiuliza kama binadamu ni zao la sokwe kwanini hadi sasa bado sokwe wapo na hawabadiliki.Ambayo amefundishwa kuwo binadamu ni zao la sokwe
Tatizo shule hawana, suti ndio kimbilio pekee lililobaki
Umejidharaulisha sana mkuu and you've proven yourself to be such a pea-brained!Tatizo shule hawana, suti ndio kimbilio pekee lililobaki
Sasa maelezo meeeengi halafu point sifuri, hili ndio tatizo la kukosa shule. Hata kama unacheza rede shule ni muhimu, kamuulize mike tyson, kwani unafikiri Tyson hakuwa na mahotel na majumba?Unaongea non sense sana kijana, soccer na shule wapi na wapi? Na aliye kwambia suti ni kwaajili ya wasomi nani? Na wewe unaye jifanya msomi ni kipi ambacho una taraji baada ya kusoma zaidi ya kuajiliwa?
Sikiliza wewe, kusoma hakumfanyi mtu kujitambua hata siku 1, labda kama huko kwenye mavyuo apart from kufundisha kozi iliyo kupeleka labda wanafundisha life skills, saikolojia,
Kwanza kaa ukijua kuwa kipawa ni tofauti na shule ambapo mwenye kipawa na asiye na kipawa wote wana uwezo wa kusoma na kufaulu ilimradi iwepo juhudi na vipawa ni watu wachache wanavyo na si kila anaye soma ana kipawa kaa ulijue hilo na kwa wanamichezo ambao hawakupitia shule wapo wengi tu wame invest na wanazidi kukua kila kukicha na mfano mzuri Beckham, staki kuongea saana ka google umjue vizuri, na Cristiano kabla hata aja staafu amejenga 3 heavy weight hotels from diff. Big cities, New York, Lisbon & Madrid Spain, kwenda kulala kwa usiku mmoja unafilisika,
Na huko kwenye mavyuo yenu ukitembelea unakuta wanafunzi wamevaa vinguo vya ajabu utazani malaya, na wanaume kuvaa milegezo, alf unapokuja kuniambia walioenda shule wanajielewa hainiingii akilini hata kidogo.
Kujielewa ni akili na tabia ya mtu aliyo zaliwa nayo haimaanishi mtu kama haendi shule ajielewi, usiludie kuandika pointlessness umu ndani tena kijana,
Inahusika na hicho kichaka cha suti walichotumia kujifichiaWe fala shule inahusika vipi hapo