Mnyama Mkubwa Zaidi Aliyewahi Kuishi Duniani aligundulika Tanzania mkoa wa Lindi

mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
852
1,505
Habari za Jumapili Wakuu,

Kuna makala moja ya kisayansi nilikua naipitia leo na nikashangazwa kugundua kwamba mnyama mkubwa zaidi aliyewahi kuishi duniani anaitwa Giraffatitan.

Huyu mnyama aliishi jurrasic era takribani miaka milioni 150 iliyopita na inasemekana uzito wake ulikua unafika tonne 80 na urefu wake zaidi ya metre 20.

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba huyu mnyama mabaki yake ikijumuisha fuvu lake yaligundulika Lindi, Tanzania kipindi cha utawala wa kikoloni wa wajerumani hapo mwaka 1909 na 1912.

Mabaki yake sasa yametundikwa Berlin, Ujerumani na yamekua ni kivutio kikubwa cha utalii nchini kule.

Kwanini sasa serikali na wizara inayohusika na utalii wasianzishe kampeni na mijadala ya mabaki ya mnyama huyu kurudishwa Tanzania kwasababu alichukuliwa kwa njia ambayo siyo halali.

India na nchi nyingine wameweza kupigania mali nyingi zilizoibwa kipindi cha ukoloni zirudishwe na zimerudishwa kwanini sasa Tanzania tusiige mfano.

Tanzania ikumbukwe ndo craddle of all civilization, binadamu wa kwanza wameishi hapa miaka milioni iliyopita na wanyama wenye super genes kama. huyu wameishi hapa pia. Ombi langu serikali ifanye jitihadi kurudisha mabaki ya huyu mnyama na wengine wengi. Itakuza utalii wa ndani na kurudisha sense of National Pride ya kujivunia kuwa Mtanzania.

Picha zake hizi hapa
1463913618345.jpg
 
Picha zake hizi hapaView attachment 349837
Dah
 
Najivunia kuwa Mtanzania ukifuatilia science kwa ukaribu utajua Tanzania ni chimbuko la viumbe vingi ikiwemo binadamu wa kwanza.

Tumebahatika sana kuzaliwa Tanzania we should be proud of this.
 
Sifa za maneno matupu hazisaidii kitu. we need something tangible, or at least we should make profit out of this uniqueness, otherwise ni kujilisha upepo tu.
 
kweli mkuu we need to see results ila safari moja huanzisha nyingine we need to set a milestone for this one then naamini vingine vitafuata.
 
Jana nilikuwa nikiwaza ikitokea Burundi au Yemen ikachukua kombe la dunia la FIFA waandaaji watakubali kweli liende huko!?
inawezekana mkuu mimi naamini no ones makes a person or a country inferior without that country consent,

Kama tukijiekea standards za mutual respect na ika'reflect katika policy zetu naamini kutakua na kuheshimiana na hawa wenzetu.
 
Nimekuona live kwa macho yangu kukusikia kwa masikio yangu mwenyewe ukijibu swali la mtazamaji wako kupitia kipindi chako ndani ya chanel 10... Ukiongea kwa kujiamini tena bila hata kumung'unya maneno tofauti watu wengine maarufu kama wewe kwamba UMEOA WAKE WAWILI 2'' tena wanapendana kama mapacha..Nimefurahi kwa kujiamini kwako kwani unaonesha kwamba hujakurupuka katika maamuzi yako ila mi nina mke mmoja tu!

Unyanyasaji wa wanawake. Hakuna kupendana katika uke wenza . Sana sana ni kukubaliana na hali kwa vile watu wengi wanaishiga kwenye uke wanza ajili hawana namna!

Tangu lini uke wanza likawa jambo la sifa?

Mtoa taarifa, uliyependezwa na huu udharirishaji, ungesemaje kama mkeo angeenda kwenye media akasema "NIMEOLEWA NA WANAUME WAWILI NA WOTE WANA ADABU KAMA MAJI".
 
Back
Top Bottom