ali rashidd
Member
- Apr 1, 2014
- 14
- 2
Pamoja kaka
Baba sio serikali hii.Mkuu ni wazo Zuri sana, ila naomba tu nikwambie kuwa Asilimia Kubwa ya wanunuzi/wauzaji wa maeneo mbalimbali nchini mwetu mengi hayajapimwa, Lakini pia Kumekuwa na Shida nyingi sana, Unakuta Eneo limeuzwa mara mbili, na Mwenyekiti amesaini vilevile, maana Kwake hakuna Hasar kubwa, Kama ikitokea Mgogoro yeye atakuja kama Shahidi, si kama Mtuhumiwa;
akaunti haithibitishi kama 10% ni sahihi,kinachothibitisha ni listi ya serikali ambayo unaweza kuwarahisi hata kushitakiNimenunua viwanja Mradi wa viwanja Mvomero na agizo juu la kulipa hiyo 10% tena kwa akaunti rasmi ya Halmashauri inayojulikana kama "DED Mvomero Miscellaneous"
Ninaposoma hii thread unajikuta niko confused maana hiyo 10% niliyolipa kwa Jan ni hatari
Kodi ni TRAmi nadhani iyo asilimia kumi ni capital gain unayotakiwa kulipa kama kodi
Na weye risiti ya EFD waainishe ni aina gani ya mauzo yamefanyikaWiki ijayo nafanya biashara ya shamba. Hao serekali ya kijiji wakija nitawataka kwanza wanionyeshe sheria inayotaka wao wapate 10%, kisha nitawasisitiza hata kama hiyo sheria ipo waje na EFD receipt na sio hivyo vitabu vya kitapeli.
Kuna Kanuni za Ulipaji wa Mawakili zimeelezea viwango vya ulipaji wa mawakilimgusi mukulu MWANASHERIA NI MTU BINAFSI, HUDUMA YAKE NI PRIVATE NA SYO HUDUMA YA SERIKALI HVYO KUMLIPA AU KUTOMLIPA NA KUMLIPA KIAS GAN HUTEGEMEA MAKUBALIANO YENU
Mkuu nakubali, Sheria za mapato za Local Government zimempiga chenga ya mwili.Whoever wrote this clearly hajui source ya income ya local governments inatokana na vyanzo vya ndani vya serikali husika.
Na hii huwekwa na bylaws za vijiji husika. Amd yes, haipo kwenye sheria za ardhi lakini ipo kwenye by laws.