Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 583
- 1,266
Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.
Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro. Natumaini wengi humu hatujafamika ila kuna wana JF ni wakazi wa Katoro au wanaoufahamu mji wenyewe.
Tungependa tupate review ya ule mji. Hali yake kiuchumi, utamaduni wa watu pale, fursa zinazochangamkiwa, kasi ya ukuaji, nini kilipekea mji ukaamka kwa kasi na mengine mengi ..
Karibuni