Ukisoma chuo cha diploma private utaweza kuchaguliwa chuo kikuu?

ivi ukisomea private diploma je kunauwezekano wakuchaguliwa chuo kukuu baada ya kumaliza mafunzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachaguliwa vzuri tuu kikubwa uwe na GPA ya 3.0 (Hiyo ni kulingana na sheria ya mwaka huu, kama utakuja ku apply mbeleni huko sasa utatakiwa kuendana na vigezo walivyotoa haswa hiyo GPA maana kila mara wanabadilika badilika)
 
Yap!! Uwezekano upo endapo tu kama icho chuo ulichosoma kinatambulika na serikali na endapo utakuwa na ufaulu wa GPA 3.0 kupanda juuu
 
Back
Top Bottom