ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
Mada yangu kuhusu usajili wa aliyekuwa winga wa simba mganda Emmnuel Okwi kwenda Yanga.
Utata wangu: Yanga wamemsajili Okwi kutokea timu gani Etoile, Simba au Sc Villa.
Kama kutokea Etoile ya Tunisia je Simba wamelipwa pesa zao?
Pia kulikuwa na suala kamati moja ya FIFA ilikuwa inasimamia hli suala la Okwi na kuagizwa asiitumikie club yake aliyou9a na Simba na kupelekwa Villa ili kulinda kipaji chake. Yapi majibu ya hyo kamati kwa Okwi na Etoile ya Tunisia.
Ipi ilikuwa club halali kwa kummiliki Okwi.
Ni hayo tu baadhi ya maswali yanayonipa utata juu ya usajiri wa Okwi kwenda Yanga.......confused::