Mniondelee utata huu

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Mada yangu kuhusu usajili wa aliyekuwa winga wa simba mganda Emmnuel Okwi kwenda Yanga.
Utata wangu: Yanga wamemsajili Okwi kutokea timu gani Etoile, Simba au Sc Villa.

Kama kutokea Etoile ya Tunisia je Simba wamelipwa pesa zao?

Pia kulikuwa na suala kamati moja ya FIFA ilikuwa inasimamia hli suala la Okwi na kuagizwa asiitumikie club yake aliyou9a na Simba na kupelekwa Villa ili kulinda kipaji chake. Yapi majibu ya hyo kamati kwa Okwi na Etoile ya Tunisia.

Ipi ilikuwa club halali kwa kummiliki Okwi.

Ni hayo tu baadhi ya maswali yanayonipa utata juu ya usajiri wa Okwi kwenda Yanga.......confused::confused::confused::confused::confused::
 
Nakupa ushauri wa bure!achana na soka la bongo utaumiza kichwa chako bure!
 
Yanga wamemsajili kutokea Villa na mkataba wa Okwi na Etouile ulivunjika baada ya Etoile kutomlipa pesa ya usajili Okwi so wali breach contract!Kuhusu kama Simba walilipwa pesa zao Rage na Pope ndo wanajua zaid lakini kwa mfumo wa FIFA kama yanga wamepata ITC ina maana Okwi alikua mchezaji wa Villa
 
Inambnisha wkt akicheza simba ndo waliku na miliki kwa Okwi
 
Back
Top Bottom