Mnigeria Awa Mbunge Wa Kwanza Mweusi Nchini Poland | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnigeria Awa Mbunge Wa Kwanza Mweusi Nchini Poland

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Dec 26, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  John Abraham Godson akiapa kuwa mbunge Thursday, December 16, 2010 2:00 AM
  Mnigeria aliyelowea nchini Poland miaka 17 iliyopita na kuoa mwanamke wa Poland, amekuwa mbunge wa kwanza mweusi katika historia ya masuala ya siasa nchini Poland. John Abraham Godson, alizaliwa katika jimbo la Abia nchini Nigeria na alikulia nchini humo kabla ya kuhamia nchini Poland.

  Godsnon ambaye ni msomi mwenye shahada nyingi, amekuwa gumzo nchini Poland baada ya kuingia kwenye vitabu vya historia ya masuala ya siasa nchini humo kwakuwa mtu mweusi wa kwanza kuwa mtunga sheria wa bunge la nchi hiyo ambayo bado ina matatizo ya ubaguzi wa rangi.

  Godson alishawahi kuonja joto la ubaguzi wa rangi nchini humo kwa kushushiwa kipigo mara mbili bila ya sababu za msingi.

  Godson alihamia Poland mwanzoni mwa miaka ya 1990 na kuanzisha shule ya Kiingereza na pia kufanya kazi kama mchungaji wa kanisa la Kiprotestant.

  Alimuoa mwanamke raia wa Poland na amefanikiwa kuzaa naye watoto wanne.

  Alichaguliwa kuwa mbunge na chama cha Civic Platform Party, baada kiti cha ubunge wa jimbo lake kuwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge kukiacha kiti hicho alipochaguliwa kuwa meya. Kabla ya kuwa mbunge alikuwa mjumbe wa baraza la halmashauri ya mji wa Lodz.

  Kuhusiana na ubaguzi wa rangi nchini Poland, Godson alisema kuwa ubaguzi wa rangi nchini Poland umeanza kupungua katika miaka ya karibuni baada ya Poland kujiunga na Umoja wa Ulaya miaka sita iliyopita.

  Akiongea na radio moja ya nchini humo, Godson alisema: "Mimi natoka Lodz (jimbo analoliwakilisha, nitaishi hapa, nitafia hapa na nataka nizikwe hapa".


  chanzo NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
   
 2. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks for this news:

  Poland had potential discriminative people in her society in the late 1998 as they were not prepared to face challenges in early 1990s'. and they were not prepared to face changes hasa kwa wazee. Yoouth accepted to face changes as they could see their counterpart fellows in Europe and USA just after media revolutions arround the global which begans to bring challenges in the '90s. It has helped a lot.

  The youth culture has developed most peoples' mind by also understnding of strong mindful of The Current Great Nelson Mandela's idea of forgiving whites people who tends to disrciminate and torchering black people in their own lovely continent, Africa.

  The so called R&B music ruled in redios and televisions and they could see an importance of welcoming the rap music superstars including Snoop dogdog, busterrimes and JZ. The music industry had palyed roles in the global society & in the polical systems to make it clear for changes.

  I was there when JZ landed in the country at Warsawa INter., Airport, every where you could drive there were advertisements on the very expensive ads boards kama vile anashuka POPE wa RoME.

  Ni kweli ubaguzi wa Rangi umeanza kusahaulika kwa namna fulani.

  I have been in Polland in 2006 in the City known as Gdynia situated in the north of the country a very good place for holiday during summer, a sea cost arround Baltic Sea attracts a lot of Europeans and other intercontinental states indegenous such as USA.

  Every time i am boarding in the restaurant for the dinner i could meet some nice girls and chat about life, mostly asking of my background as well as offering if i could marry one of the polish girl.

  yes i can agree now race discrimination is likely to be abondoned through the willing of Polish people and also a big stage in the democratic development in the Polish society.
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,533
  Trophy Points: 280
  Alikua amekwisha rekodi ya kua mtu wa kwanza mwenye asili ya Afrika kua diwani huko Lodz. So anaendelea kutengeneza historia. Sijui utaratibu wa nchi hiyo ktk kupata mawaziri,pengine anaweza kupata uwaziri,and who knows pengine hata URAIS. Ila nimependa style wa wabunge kuapa,wanakula kiapo cha pamoja,si ka TZ ambako kila mbunge anaenda mbele kuapa peke yake. It's wastage of time and money,kwani unakuta wanatumia siku si chini ya tatu,kuapa tu. Wakati wangetumia hata dk 15 kufanya zoezi ilo!
   
 4. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni lini tutawakubali whites? lakini wahindi na waarabu tuko nao tayari.

  Kama ulivyosema, tuwe na utaratibu wa kuapusha wabunge wote kwa siku moja within prospective time.
   
 5. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,533
  Trophy Points: 280
  Roger that Malyamungu.
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  at the end of the day all human being will be equal, coz what we have and experiance now is nothing but different patent
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huwa nakosa imani na wanaigeria ata sijui why?
   
 8. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Went to school with them...they are so unpredictable!
   
 9. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tumtakie heri mbona anawakilisha. I have two Nigerian friends. They are cool you only need to know how to 'tame' them!
   
Loading...