Mnh! Ulishamsikia huyu bibi, eti bangi hupunguza maumivu ya siku za mwanamke kwakujichua maeneo.

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Hebu google Whoopi and Maya medical cannabis, au msikilize hapa...anasema bangi yao sio ya kuvuta watu wawe high, bali ni yakusaidia wanawake wanaopata maumivu makali (menstrual cramps) kwenye siku zao..... dawa ni ya kujichua yale maeneo, nia ni msaada especially kwa wasichana wanaoathirika na hayo maumivu siku za mwanzo.



Hizi hapa

160330171400-whoopi-and-maya-products-780x439.jpg


whoopi-and-maya-home.jpg

Whoopi & Maya
Na pia anatoa sababu zake kwann hataki kuwa kwenye uhusuano permanent...ila alishaolewa na kuchika mar 3, ana mtoto mmoja wakike na anawajukuu watatu na kitukuu kimoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom