Mnene Huyu Kiboko

Vyembamba vinashombo sana hawakukuita walijua ni vile vile jilie uende kutongoza chembamba lazima ujue matusi ukitukane mpaka kijione kijinga ndo ukasomee risala ila ukikala tu vyepesi kubinuka

Sasa umekua Bonge ngoja na Mimi nilete kero halooo

Mahondwaaa WA kuhondola


Hahahahaha.. kumbe lol!!



cc Smart911
 
Ambao hawavutiwi na wanene huwa sio kwa sababu ulizozitoa mwanzo.
Ni kwamba tu hawajavutiwa nao.
Wewe ulikuwa misled tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom