MNEC Arusha Mjini G. Mwalusamba astaajabisha watu

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
90
Jana baadhi ya makada wa Arusha Mjini walishangazwa na kiongozi huyo anayetegemewa kuwawakilisha wao katika vikao vya juu vya Chama kujisifia hadharani juu mambo ya kipuuzi.

Haya yalitokea baada ya kile kinachosemekana kuwa kijana huyu alikwaruzana vibaya na viongozi wenzie hasa Katibu wa Chama Wilaya baada ya yeye (Mwalusamba) kukasirika eti kwa nini Katibu alisahau kumtambulisha jukwaani.

Pamoja na Katibu kumtaka radhi kiungwana na kumwambia hayo ni usahaulifu tu wa kibinadamu jamaa alimjia juu akimfokea na kumwambia waweza kusahau yote ili si kutomtambulisha MNEC.

Haya ni maneno aliyokuwa akiyasema yeye mwenyewe baada ya varangati na Katibu hiyo akijisifia kuwa kwa kosa hilo Katibu huyo atamtambua na Arusha ataiona chungu.

Ila katika hili sisi wadau tunamwakikishia Katibu tuko nyuma yake na mpuuzi mmoja asimbabaishe. Katibu chapa kazi wala usiwe na shaka! Mawaziri wakati mwingine wanasahaulika kutambulishwa sembuse huyo.

Huyu anayempa kiburi ipo siku yatamtokea puani. Katibu endelea na kazi na ikibidi endelea kutomtambulisha na mumwabie awe na maadili ya uongozi anawezaje
Kujisifia haya hadharani??

Tabia za Lema hizi. Endelea na kazi yako Katibu'
 
Kwani ukiandika maujinga yenu peke yake bila kukigusa CDM na Viongozi wake hauta someka?

Wewe hangaika namna ya kujivua gamba lililo kung'ang'ania shingoni, 2015 tunakutosa na gamba lako!
 
Huu uzi umekosa credibility ya kuwa hapa JF,...hebu jaribu FB labda watu wataelewa...unaandika wala hauleweki.
 
Aibu likijana lizima na akili zake lipo ccm afu linatuletea majungu yake apa
 
Lema katoka wapi tena? Ccm achen vituko,kwan bila kumtaja lema mada yenu isingeweza kuchambuliwa?.
 
chodola wewe ninajua uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana na post hii umeandika ukiwa na kundi la watu wewe sindo mke wa lowasa na umepewa iyo kazi kumchafua mnec wa arusha mjini ninajua ivyo na mnec huwezi kumfananisha na wewe kundi la lowasa ujira kula nyama mnec anakubalika kwa kiasa kikubwa sana tafuta mbinu nyingine ya kufanya sio hiyo.
 
jamani jamani jamani we mahamud jaman chodola anatakiwa awambie mnec wa arusha mjini mwalusamba anunuliki amejitosheleza sana yupo kwa ajili ya nchi yake na taifa lake wanatakiwa wafaham ilo very soon na wakubaliane na ukweli watafute mambulula nasikia ili uwe kundi ilo lazima uwe mtu wa yes and not no unajua mahamud unachosema ni kweli kabisa ilo ni genge la watu wa chache wa munduli .mnec jenga taifa lako .
 
Wewe mwenyewe ni incredible, hilo moja lakini la pili ujumbe umefika na umeshapokelewa @ Ingwe
Huwezi kua na akili matope ya ku-post nonsense za makundi ndani ya GT,ndani ya Arusha mjini(w)hakuna mwanasiasa zaidi ya Mwalusamba,anajitambua,anaelewa majukumu yake,na hawezi tumikia Wezi badala ya Nchi yake,Jana alifanya wonders kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuuza sera za chama na si kuhangaika na lema kama nyinyi mabubu msiojiweza..Chezea Mnec Mwalusamba weyeee...
 
Well said.....asipoelewa ni juu yake.
 
chodola wewe ninajua uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana na post hii umeandika ukiwa na kundi la watu wewe sindo mke wa lowasa na umepewa iyo kazi kumchafua mnec wa arusha mjini ninajua ivyo na mnec huwezi kumfananisha na wewe kundi la lowasa ujira kula nyama mnec anakubalika kwa kiasa kikubwa sana tafuta mbinu nyingine ya kufanya sio hiyo.

Haya na hapo tena atabisha_mimi sio mwanasiasa lakn nilim_note mapema kutokana na post yake hii.....he/she is real cheap if not weak upstairs.
 
magoigoi, wapuuzi na wafu wakizikana sisi kwetu ni harakati kwenda mbele
 
Jana baadhi ya makada wa Arusha Mjini walishangazwa na kiongozi huyo anayetegemewa kuwawakilisha wao katika vikao vya juu vya Chama kujisifia hadharani juu mambo ya kipuuzi.

Haya yalitokea baada ya kile kinachosemekana kuwa kijana huyu alikwaruzana vibaya na viongozi wenzie hasa Katibu wa Chama Wilaya baada ya yeye (Mwalusamba) kukasirika eti kwa nini Katibu alisahau kumtambulisha jukwaani.

Pamoja na Katibu kumtaka radhi kiungwana na kumwambia hayo ni usahaulifu tu wa kibinadamu jamaa alimjia juu akimfokea na kumwambia waweza kusahau yote ili si kutomtambulisha MNEC.

Haya ni maneno aliyokuwa akiyasema yeye mwenyewe baada ya varangati na Katibu hiyo akijisifia kuwa kwa kosa hilo Katibu huyo atamtambua na Arusha ataiona chungu.

Ila katika hili sisi wadau tunamwakikishia Katibu tuko nyuma yake na mpuuzi mmoja asimbabaishe. Katibu chapa kazi wala usiwe na shaka! Mawaziri wakati mwingine wanasahaulika kutambulishwa sembuse huyo.

Huyu anayempa kiburi ipo siku yatamtokea puani. Katibu endelea na kazi na ikibidi endelea kutomtambulisha na mumwabie awe na maadili ya uongozi anawezaje
Kujisifia haya hadharani??

Tabia za Lema hizi. Endelea na kazi yako Katibu'

familia ya panya
 
familia ya panya
Huyu anaejiita Shondola ni Yule mchumi wa kwanza shoga(w) Arusha mjini,Jina lake ni Victor wa Manispaa Ana gx 100,jamaa hula ni chakula kweli,kwa sasa amefuga ndevu kuua soo,ila ni shoga mzuri,bahasha wake anajulikana.
 
Back
Top Bottom