Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
Jana baadhi ya makada wa Arusha Mjini walishangazwa na kiongozi huyo anayetegemewa kuwawakilisha wao katika vikao vya juu vya Chama kujisifia hadharani juu mambo ya kipuuzi.
Haya yalitokea baada ya kile kinachosemekana kuwa kijana huyu alikwaruzana vibaya na viongozi wenzie hasa Katibu wa Chama Wilaya baada ya yeye (Mwalusamba) kukasirika eti kwa nini Katibu alisahau kumtambulisha jukwaani.
Pamoja na Katibu kumtaka radhi kiungwana na kumwambia hayo ni usahaulifu tu wa kibinadamu jamaa alimjia juu akimfokea na kumwambia waweza kusahau yote ili si kutomtambulisha MNEC.
Haya ni maneno aliyokuwa akiyasema yeye mwenyewe baada ya varangati na Katibu hiyo akijisifia kuwa kwa kosa hilo Katibu huyo atamtambua na Arusha ataiona chungu.
Ila katika hili sisi wadau tunamwakikishia Katibu tuko nyuma yake na mpuuzi mmoja asimbabaishe. Katibu chapa kazi wala usiwe na shaka! Mawaziri wakati mwingine wanasahaulika kutambulishwa sembuse huyo.
Huyu anayempa kiburi ipo siku yatamtokea puani. Katibu endelea na kazi na ikibidi endelea kutomtambulisha na mumwabie awe na maadili ya uongozi anawezaje
Kujisifia haya hadharani??
Tabia za Lema hizi. Endelea na kazi yako Katibu'