Elections 2010 Mnazikumbuka ahadi tulizoahidiwa wati wa kampeni?

Wakuletwa

Senior Member
Oct 31, 2010
134
9
Naomba mzitaje hapa for JF reference naanza na
1. Barabara za juu!
2.Tatizo la maji litakuwa historia hapa Dar
3. Lami kuunganisha Mara na Arusha kupitia serengeti
4.
 
Tulizoahidiwa na nani? Kama Mkwere basi ongeza machinga complexes tano nyingine.
All in all, they are but empty promises!
 
Uwanja Mkubwa wa Ndege Misenyi
Uwanja Mkubwa wa Ndege Kigoma
Kupandisha Hospitali zote za wilaya kuwa za Mkoa, na za Mkoa kuwa za Rufaa
Kila alipoona maji aliahidi meli na boti
Bajaji 400 kwa ajili ya wajawazito.

zingine sizikumbuki maana zinafika 90
 
Naona mkwere sijui ndio ameanza kutimiza ahadi zake,lile tuta la kimara stop over lilokuwa linaleta foleni kubwa isiyo kuwa na sababu limeondolewa usiku wa kuamkia leo na jamaa wa TANRODS.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom