Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,916
Wakimbizi wa kisiasa ni matokeo ya watawala wanaotawala kwa mkono wa chuma hasa katika ku-deal na wapinzani na mambo haya katika dunia ya leo sio common sana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kutokana na watu kustaaribika na kuachana na siasa za kizamani za kimabavu na udikteta.
Hata hivyo, inapotokea Taifa linazalisha wakimbizi wa kisiasa, wakimbizi hawa wanapokuwa nje ya nchi huwa ni chanzo za matatizo mbalimbali katika nchi zao, matatizo ambayo nisingependa kuyataja hapa ila naamimi kila mtu anayajua.
Hivyo basi, si jambo jema sana kwa nchi yoyote ile duniani kuzalisha wakimbizi wa kisiasa.
Pia,kwa dunia ya leo, hailete picha nzuri sana kwa kiongozi yoyote yule duniani kuanza kuzalisha wakimbizi wa kisiasa.
Ukiona watu wanaanza kutafuta "poltical asylum" au watu wanaanza kuwaza/kuongelea kuhusu political asylum,basi ujue hii si ishara nzuri hata kidogo kwa kiongozi yeyote yule.
Mwenye kuelewa na aelewe.