Sasa hapo unauliza nini?
umechambua hiyo habari umeona kuna tatizo?
L
Sijaona sehemu ambayo WENTWORTH wameonesha hawana interest ya kuwauzia Tanesco gas kwa kuzalisha umeme.Labda la msingi ni kwamba inaonyesha hawa jamaa hawana interest ya kutumia hii gas kuzalisha umeme, bali wanataka itumike kwenye petrochemical indusrty, pamoja na kuzalisha mbolea. Ukweli ni kwamba petrochemical industry huingiza hela nyingi zaidi ya kutumia gas kwa umeme, hivyo mwekezaji yeyote atapendelea gas itumike kwenye petrochemical industry, sio umeme.