Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

Sio kwamba wana nguvu sana, ni sayansi tu. Mimi leo nimechakata kuanzia saa sita mpaka saa tisa, hapo katikati tumepumzika kama 40 minutes wakati huo yeye 2 mimi 0. Mpaka mwisho wa gemu yeye 3 mimi 1.
Mmmmmh mbona ni kukomoana sasa lol.
 
Mosi, wanaume wanatofautiana uwezo wa kuzuia mshindo hivyo si ajabu kusikia mwanaume katumia dk 60.

Pili, umri na afya ya mwanaume, ukiwa mtu wa mazoezi sana kuna uwezekano mkubwa ukawa pia na stamina ya muda mrefu kitandani.

Tatu, kama ilivyo kwa wanawake kwamba kuna style 'mkao' ambayo dk kadhaa tu anafika mshindo, ndivyo ilivyo hata kwa wanaume kuna style zinakufikisha haraka na zipo unaweza ukajikuta unafanya tuuu.

Nne, jinsi ambavyo unaingiza na kutoa uume wako kwenye uke, kumbuka kuwa kwa waliotahiriwa sehemu ya kichwa cha uume ipo sensitive zaidi kuliko sehemu yoyote. Kama utaingiza na kutoa uume wako kiasi kwamba kichwa chake kitakuwa kinagusa mlango wa uke katika kila mpigo, kuna chance kubwa ya kutumia muda mchache.

Yote hayo yakishindikana basi fanya foreplay muda mrefu ili kuepusha kufika mshindo kabla ya mkeo...principle ni hii katika kila mshindo mmoja wa mwanaume, mwanamke anatakiwa awe kafikia mishindo miwili..
Maelezo safi kabisaah,
 
Ni ya kitoto sababu wewe huyawezi,, hatufanani mkuu Kama tunavyopishana kimuonekano na maumbile hata performance ya huko Ni hivyo
Ni sahihi tunatofautiana nachosema ni kwamba ni watoto ndio wenye muda wa kupiga bao 12 ndani ya usiku mmoja.
Mwanaume hauwezi kupiga bao zote hizo ili ugundue nini? Utapoteza energy zako bure za kufanya shughuli nyingine.
 
Ni sahihi tunatofautiana nachosema ni kwamba ni watoto ndio wenye muda wa kupiga bao 12 ndani ya usiku mmoja.
Mwanaume hauwezi kupiga bao zote hizo ili ugundue nini? Utapoteza energy zako bure za kufanya shughuli nyingine.
Eti eeh, Basi sawa tusibishane saaana mkuu
 
Mkuu ukitaka uchakate mbunye muda mrefu **** njia moja tu, hizo nyingine zote ni stoty tu. Ukiwa unapiga, hamisha mawazo yako mbali kabisa. Unaweza ukayahamishia kwenye namna gani utaweza kumudu TOZO au ukawa unajiuliza kwanini miaka yote kumekuwa na siri juu ya MKE WA YESU
 
Jibu
1. Kwanza wapaswa kuwa na utaratibu wa kula vizuri (natural/organic foods) mlo sahihi na kujiepusha na mihadarati kama ulaji wa khat (mirungi/gomba), sigara, kahawa, na vinavyo fanana na hivyo. Ulaji wa junk foods kama chips na starch/wanga vinaweza sababisha premature ejaculation.
2. Kujifunza ku-control emotion zako kwa mfano ku-slow down pindi unahisi unakaribi ku-ejaculate (mind tricks) Na hili linahitaji mazoezi ya muda kidogo. Unaweza fikiria mambo mengine mfano kazi na kadhalika na hili unapaswa kuwa makini usije jitoa mchezoni kabisa.
3. Nikumuanda mwenzi wako vizuri maana hapa lengo si kutoku ejaculate mapema tu no, nikumfikisha mwenzi wako hivyo kumuanda vizuri itasaidia kwake kufika kileleni mapema na wote mkafurahia tendo.
4. Kuchunguza afya yako hasa magonjwa ya zinaa na magonjwa yanayo husu mfumo wa mkojo hasa Enlarged prostate, kidney stone, UTI na mengineyo. Wakati mwingine haya magonjwa huweza sababisha haya matatizo haya.
........................................................................................................................................................................
NOTE
Premature ejaculation
ni ile hali yakufika kileleni mapema kwa mwanaume mf. tako tatu tu tayari mtu anaejaculate na mashine haiamki tena pengine mpaka apumzike zaidi ya saa 1.
Kwa ambaye ana tatizo hili la premature ejaculation anaweza akatumia mitishamba kama Saw palmetto berries au Shan Zhu Yu; yote kwa ushauri wa wataalamu wa tiba asili. Huku akizingatia ulaji wake asiwe mtu wakula wanga sana badala yake ale mboga za majani hasa organic kama kale, wild lettuce/ mchunga, mnavu mchicha wakienyeji sio wabustani nk, matunda ya asili yenye mbegu (seeded) sio hizi za GMO's ambayo ni ya muda mfupi.
Pia ukiwa unahitaji msaada zaidi wa high electrical herbs ambayo inatibu mpaka impotence/ugumba kwa wanaume nicheki nitakusaidia.
 
Hizo story tu masta, saa nzima unatafta nini bablai? Tendo dk 15-20 ufundi wa kutosha mama lazima akojoe, unalala fresh, majukumu mengine yanaendelea
 
Back
Top Bottom