Mnawezaje kucheat & at the same time mkaweza kumaintain upendo wenu kwenye mahusiano yenu?

Lazima utapunguza upendo sehemu moja!
Huyu wangu kanicheat sana ila sikuwahi kuona or kuhisi dalili zozote zile sasa sijui alikuaga ananipenda ila huko alikua anapelekwa na tamaa zake tu or sijui nini tu ,,, nimemvulia kofia aisee,,, laiti kams nisingejiongeza kumchunguza basi ningejikuta naolea maselaaa,,,, baada ya Mungu ogopa sana kiumbe anaitwa mwanamke
 
Huyu wangu kanicheat sana ila sikuwahi kuona or kuhisi dalili zozote zile sasa sijui alikuaga ananipenda ila huko alikua anapelekwa na tamaa zake tu or sijui nini tu ,,, nimemvulia kofia aisee,,, laiti kams nisingejiongeza kumchunguza basi ningejikuta naolea maselaaa,,,, baada ya Mungu ogopa sana kiumbe anaitwa mwanamke
Hapo kuna mengi, either umepunguza upendo kwake tofauti na awali,, au ulimcheat sanaaa kakuvumilia mpaka, pia yaeza kua humtosielezi kitandani au humhudumii na kumjali,,
 
Hii kitu ya kusomesha wapenzi wetu wa kike inapigiwa kelele sana. Na watu wameshaumizwa sana. Inakuwaje bado watu hawajifunzi. Kweli kale ""kashimo"" kanawafanya watu wakose akili kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Salaamuni,

Eti wadada hivi kuna kauwezekano nyie mkachepuka and still mkamaintain ule upendo wenu kwenye mahusiano yenu? maana to be honest kuna mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano for almost miaka miwili sasa lengo langu likiwa nijiweke sawa ili nipate uhakika wa kuishi nae mtoto wa watu bila mashaka,,, katika kipindi chote hicho nimejitoa sana kumsuppot katika masomo yake maana nilianza nae mahusiano tangia akiwa form 5 mwaka 2019 mwanzoni

Nimekuwa nikijitahidi sana kumpa care,,, muda,,, penzi,,,na hata kumfungulia account kwaajili ya akiba yake pindi akiwa na shida ambazo sitoweza kuzitatua pindi atakapohitaji msaada wangu halafu niwe sina vyangu.

Nisiwe muongo ndugu zangu huyu binti nilitokea kumpenda sana tu kama unavojua sisi wanaume huwa tuna kamsemo kanasema "Msela akipenda hata kibanda atajenga",,,, huyu binti nilimzimikia ipasavyo japo sikumkuta bikira ila niliamua tu kuridhika nae kutokana na maisha aliyonayo,,, uyatima wa kuishi na mzazi mmoja (mama),,, hali ya maisha na mazingira aliyokulia so niliamini kwamba pengine kupitia kumpa care na kumhudumia na kumpa upendo pengine ningeweza kumbadilisha ili awe aina ya mwanamke nimtakae.

Alinionesha upendo,,,alinipatia heshima yangu kadiri alivoweza japo kuna time alikuwa anajaribu kunipanda kichwani nahisi ni kwa sababu I was too loyal kwake with deep love maybe she took an advantage of it kufanya baadhi ya visa kwamba siwezi kumuacha.
Ilinichukua muda kuuwin moyo wake mpaka kuja kuanza kupata ile MUTUAL LOVE baina yetu maana kuna kipindi kile cha Corona nilipoteza kazi nikapigika haswaa hata hela ya kula sometimes nanga ilikua inapaa wakulungwa hope wengi wetu mnaelewa mauza uza ya kipindi hicho,,,,ila binti hakuonesha kunichoka wala nini sanasana ilikua kila weekend anajitahid kuja gheto kuniliwaza na kunifariji mkulungwa mwenzenu.

Kilicho nifanya nilete hii mada ni kwamba kuanzia mwaka jana august binti alihitimu form six akaniaga anaenda mkoa flani kwa mama zake wadogo kwenda kusalimia,,,,ilimchukua wiki kama 2 hivi then akarudi siku ya birthday yangu tukacelebrate na mzigo nikala fresh kabisa tena alionesha kunimiss sana.

Kuanzia mwezi wa 11 alipoanza chuo nilimnunulia simu mpya kama pongezi kwamba anaanza chuo,,,,lakini kuna siku nilikuja kugundua kwenye SEARCH HISTORY YA INSTAGRAM ACCOUNT YAKE kuna jina la EX wake wa zamani nahisi ndie aliye mbikiri,,,maana nilivokuja kufuatilia saana nikagudua kumbe hata ile safari aliyoenda kule mkoani alipata nafasi pia ya kuonana na huyo jamaa yake wa zamani ,,,,,nikajaribu kumbana sana siku hiyo mixer mikwara mizito mpaka akakiri kwamba ni kweli alivosafiri huko walipasha kiporo na huyo mshkaj wake,,, I swear niliumia sana nikajiona mjinga

Nikahisi thamani yangu imeshuka maana kumbe binti aligegedwa huko halafu na mie akaniletea huku tena siku ya birthday yangu,,,,halafu kupitia tukio hilo niligundua pia hata home kwao kwa baba yake mkubwa anapoishi kuna ndugu zake huwa wananichapia daaahhh asikwambie mtu niliumia vibaya sana japo binti hakuwahi kunionesha hali yoyote ya upendo wake kupumgua kwangu.

Kama ujuavyo sie wanaume kosa la usaliti huwa ni vigumu sana kulisamehe tena mbaya zaidi huyu wangu kanicheat na EX wake kitu kinachonifanya nihisi labda binti bado anamfeel huyo mwamba. Niliamua tu kumpiga chini japo nilimwambia kwamba nitaendelea kumsuppot katika baadhi ya mambo yake ya kimasomo pale itakaponibidi ila suala la mie kuja kumuoa or kurudiana nae kuendelea na mahusiano hilo asahau kabisa,,,,najihisi kinyaa hata kumgegeda,

Sina imani nae tena kama zamani,,,japo bado nampenda ila nimeamua tu kumpiga chini ili niipe amani nafsi yangu,,,,maana kinachoniuma zaidi ni kwamba binti amegawa tunda wakati mimi tangia nimeanza mahusiano nae I SWEAR SIJAWAHI KUMSALITI NAAPIA NDUGU ZANGU,,,,,nilijitahidi sana kumtunzia heshma nikiamini kwamba nakua mfano wa kuigwa kwa mwanamke wangu ili naye ajitunze. WHY WANAWAKE MNATUTESA?

HAMUELEWEKI MNATAKA NINI KWENY HAYA MAPENZI,,,,,TUWAFANYIE NINI ILI MTULIE?

Kama ni kweli wanasemaga WOMEN CHEAT WITH FEELINGS basi huyu baeb wangu nahisi hata kama nitamuoa ila huyo jamaa yake bado atanichapia tu DAADEEKIII

NILICHOJIFUNZA KUPITIA HUYU BINTI:

1: Mwanamke ukimuonesha kumpenda sana,,,ukiwa loyal sana,,,ukijifanya sharukh khan sana basi atakudharau na kukuona fala kwamba huwez muacha,,,so nimejifunza KUBALANCE SHOBO

2: Oeni mwanamke BIKIRA,,,, hii itasaidia sana kupunguza maumivu ya kuchapiwa,,, pia itakufanya ujione wewe ndo champion kwa mwanamke wako hata kama ukigongewa,,, ila siyo kwamba ndo itazuia kuchapiwa.

3:Mliojaaliwa watoto jitahidini sana kulea watoto wenu wenyewe,,,hizi habari za kupeleka mtoto akaishi sijui kwa uncle,,,bamkubwa,,,sijui ODO kwa maisha ya sasahivi ni ngumu sana mtoto wa kike kuruka viunzi.

4:Vijana wenzangu jitahidini sana kumtafuta kiumbe anaitwa PESA !! maana kuna msemo huwa unasema "mwanaume haridhiki ila huwa anatosheka,,ila mwanamke huwa anotosheka ila haridhiki,,,"

DEAR LADIES,,,,,how do you manage to cheat and at the same time you just maintain your love quantity ??? mnawezajee?

Kwanini tukiwapenda or tukiwa loyal mnatuchukulia mafala or mabwege
Unawashauri wenzako waoe bikira kwamba sisi tusiolewe sasa nyie tuoeni tu :p
 
Subiri mabinti na wadada waje wakujibu mkuu!

Sisi wanawake kwanza muda wa kuchosha miili yetu hovyo hatutaki.

Pili kumbuka mwanamke akikupenda ni ngumu kukusaliti labda ukutane na mfanyabiashara au ambaye amekuchoka anakufanyia visa umuache.

Tatu ujifunze kutoa msaada bila kutarajia lolote itasaidia kupunguza maumivu
 
Subiri mabinti na wadada waje wakujibu mkuu!

Sisi wanawake kwanza muda wa kuchosha miili yetu hovyo hatutaki.

Pili kumbuka mwanamke akikupenda ni ngumu kukusaliti labda ukutane na mfanyabiashara au ambaye amekuchoka anakufanyia visa umuache.

Tatu ujifunze kutoa msaada bila kutarajia lolote itasaidia kupunguza maumivu
Kama nimemuelewa mleta mada yeye alikuwa anamuhudumia mchumba wake na si kutoa msaada.
 
Mimi kilio changu ni juu yenu majentromen na ma nice guys. .......hivi huu upoyoyo mtaacha lini.....? Utakuta ndugu zenu wanashea hadi ndala lkn nyie mpo busy kuwaonesha wanawake et mnajari pumbavu zenu mngekua mnajari mngeanza na kwenu Kwanza mapunga nyie.


Ila ninacho omba wanawake waendelee kuwanyoosha hivyo hivyo hadi mlegee matako shenzi nyie.

Mbona sisi wenzenu tunawatanua mipaja yao na kuwazalisha bila kufanya hayo na maisha yanaenda fresh tu nyie mapoyoyo mnakwama wapi.....?


Komeni tumechoka na nyuzi zenu zinazo fanya wanaume wote tuonekane ni malia lia kumbe wakali tupo
 
Ukitaka kutoboa kwenye cheating hata una mke
Kwanza hutakiw kumtongoza mwanamke like unamihad nae ya muda mrefu pia ni bora ukaanza ku date na love for money anakupa utam then unamlipa mmnaishana
 
Subiri mabinti na wadada waje wakujibu mkuu!

Sisi wanawake kwanza muda wa kuchosha miili yetu hovyo hatutaki.

Pili kumbuka mwanamke akikupenda ni ngumu kukusaliti labda ukutane na mfanyabiashara au ambaye amekuchoka anakufanyia visa umuache.

Tatu ujifunze kutoa msaada bila kutarajia lolote itasaidia kupunguza maumivu

Sorry mkuu, unazungumzia wanawake wa nchi gani? Hauwezi ukawa unawazungumzia wa tanzania.

Mimi nilichojifunza kwa wanawake ni kwamba, mwanamke hua hana maamuzi juu ya kuliwa au kutokuliwa. Akikutana na mwanaume mwenye right strategies, at the right time na anaejua kuchanganya karata zake vizuri, mzigo unaliwa fresh tuu bila wasiwasi wowote.
 
Nilichogundua wewe jamaa ni fala.
Mi naungana na wewe kwa hoja zifuatazo;

1. Kila siku tunapiga kelele humu MCHUMBA HASOMESHWI!! Lakini jamaa letu hili linajidai lina hela saana na mapenzi ova Sharukh Khan eti linamsomesha demu.
2. Liliponiacha hoi zaidi eti limeshaachana na mwanamke, bado linaendelea kumpa hela! Hili jamaa ni bonge la fala na linaweza likaja kumrudia huyu demu pamoja na kwamba demu kaliwa na kijiji kizima. Hao aliowataja ni anaowajua, vipi kuna wangapi wameshapita kimasihara?
3. Jamaa letu hili limewekeza nguvu zake zote kwa mwanamke mmoja kama roho. Wanawake wote waliojaa mitaani lenyewe haliwaoni linakuja apa kusema eti halijawahi kuchepuka. Haya ndio yale majamaa yanayotusimangaga sisi wachepukaji yanadhani hatuna akili.
4.
 
This looks like my girlfriend life story...na i was the hidden guy na ameprove kulikuwa kuna jamaa. After your story i had to use force to know the truth. I trust her the same and i thought i was the first guy .
 
Wew unakuwa na demu harafu humcheat unataka uende peponi au?. Acha unyoshwe tu.
 
Hahahahaha....vijana bana!!!

Hawa viumbe hakikisha unamuweka kiganjan!!!...jifany unampenda mnoooo....

Wakati wa shoo mpe dozi kam!l!!!!!....

Hakikisha akuelewi unampenda kias gani .... Naludia hakikisha hakuelewi...

N.B
Ili ukae na Aman yakupasa kidume uwe nae zaid ya mmoja!! Uta~Relax.........
 
Kwani nyie mnawezaje kucheat na kuendelea kumaintain upendo? Ndio hivyo hivyo nasi tunaweza.
 
Back
Top Bottom