Mnawazungumziaje TAMADUNI MUSIC?

Rockcity native

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
2,167
1,403
Wale wa2 wa hiphop si jina geni masikion mwenu jina la tamadun music. Ni familia ya kizazi kipya cha hiphop kikiwa na wasanii kama niki mbish,uno,sterio,songa, youngkiler. Vp kama mdau wa hpohp tanzania unawazungumziaje hawa jamaa ni real Mcs?
 
JIPANGE UJE VIZURI UNAWAJUA TAMADUNI MUZIK WEWE KWELI AU WE NDO SHABIKI FACEBOOK :amen:
 
Huyo kamaa hawajuii ache kucomment.Tamaduni Muzk n moja kati ya label za muzk hapa wa HipHop kuna wasanii kama@One
Songa
Kadgo
Nash Mc
P Ze Mc
Ghetto Ambassador
Youngkilla
Sterio
BabaMalco aka Nikki Mbishi
Azma
Edzen
VYA & Zaid
Piaa hapo kunamikono ya maproducerz kama Kamanda Duke kuna Palla Na Daz Noledge uko hapoo Hii ndo Tamaduni muzkii
 
wewe huwajui sasa kulikuwa na ulazima gani wa kucomment hapa?
na kama huwajui wewe ndio uwaite mavi?
Kuliko niwe na mtoto wa kike kama wewe ni bora niwe na chura..idiot !

Mtoto umtoe wapi ww, mtu mwenyewe gasho!
 
Ni wakali but wengi wanaigana sana style ya uandishi na flow sometimes, Nash MC ndo naonaga anaenda kivyakevyake.
In short wanauwezo mkubwa but naona km bado hawajajitambua,wanaandika sana 'PUNCH' ambazo kwa asilimia kubwa naonaga ni nonsense,sanasana zinafurahisha kijiwe tu,na wanapendelea sana kuandika mashairi ya ulinganifu 'kama' kwa wingi kwenye lyrics zao.
Nawashauri waachane na hizo punch zisizo na maana waandike vitu vya kueleweka km kaka zao wa zaman eg PROFJ,JMO,FA,AFANDE,SOLO,etc.
 
Ni wakali but wengi wanaigana sana style ya uandishi na flow sometimes, Nash MC ndo naonaga anaenda kivyakevyake.In short wanauwezo mkubwa but naona km bado hawajajitambua,wanaandika sana 'PUNCH' ambazo kwa asilimia kubwa naonaga ni nonsense,sanasana zinafurahisha kijiwe tu,na wanapendelea sana kuandika mashairi ya ulinganifu 'kama' kwa wingi kwenye lyrics zao.Nawashauri waachane na hizo punch zisizo na maana waandike vitu vya kueleweka km kaka zao wa zaman eg PROFJ,JMO,FA,AFANDE,SOLO,etc.
"wise say"
 
Ni wakali vibaya,jamaa wako tight ile mbaya nafikiri ndio kundi bora la hip hop na watu bora katika hii sanaa,baada ya kununua album za kina Fid J Moe sasa nahamia kwa hao machizi yaani ni mwendo wa mixtape album mpaka kieleweke Radio mkasikilize mkiwa na wake zenu vipindi vya kushikanashikana kiukweli wako poa ile mbaya nawakubali mpaka basi HIP HOP NEVER DIE!PA1 WAZAZI.
 
kweli kabisa jama ni waganga njaa na ndio uanaume.....wanawake mnapenda kuganga shibe ndio maana mna dharau!!!

UANAUME NI KUGANGA NJAA??
JAY Z ANAGANGA NJAA??
MEMBER YEYOTE WA TAMADUNI MUSIK UKIMSIMAMISHA NA JAY Z NANI ATAONEKANA MWANAUME??

TUSIENDE MBALI

AY tu anawatosha
nitarudi
 
UANAUME NI KUGANGA NJAA??
JAY Z ANAGANGA NJAA??
MEMBER YEYOTE WA TAMADUNI MUSIK UKIMSIMAMISHA NA JAY Z NANI ATAONEKANA MWANAUME??

TUSIENDE MBALI

AY tu anawatosha
nitarudi

kama AY anakutosha sasa JayZ wa nini? acha kuhangaika mdada wewe. HipHop haiitaji your appreciations,we penda usipende jamaa ni wakali. Kaendelee kuimba taarabu na diamond wako
 
kama AY anakutosha sasa JayZ wa nini? acha kuhangaika mdada wewe. HipHop haiitaji your appreciations,we penda usipende jamaa ni wakali. Kaendelee kuimba taarabu na diamond wako

hahahaha nimeipenda hyo
 
Ni wakali but wengi wanaigana sana style ya uandishi na flow sometimes, Nash MC ndo naonaga anaenda kivyakevyake.
In short wanauwezo mkubwa but naona km bado hawajajitambua,wanaandika sana 'PUNCH' ambazo kwa asilimia kubwa naonaga ni nonsense,sanasana zinafurahisha kijiwe tu,na wanapendelea sana kuandika mashairi ya ulinganifu 'kama' kwa wingi kwenye lyrics zao.
Nawashauri waachane na hizo punch zisizo na maana waandike vitu vya kueleweka km kaka zao wa zaman eg PROFJ,JMO,FA,AFANDE,SOLO,etc.
hahaa,Mkuu hii kitu inaboa sana kwa vijana hawa! Hawawezi kuimba straight lines.
BTW Mziki Wa kigumu wanaouimba ni waakina LostBoyz,KRSOne
,Rakim,Coolio nk Enzi hizooo ambao hata USA ss hivi wengi hawaufanyi! Bila kubadilika watapanda za 300 na BAJAJ mpaka wakome!
 
ukimsikia niki mbishi ni kama umemsikia UNO na ni kama umemsikia Songa.....
Nuf said
 
Jamaa wanaweza na wanajitahidi kufanya hip hop iwe biashar kamil,nawau ga mkon 1 kwa 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom