Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Pia walikuwepo wengine ambao ni maarufu sana Radio One na RFA

1.John Zenze
2.Ndilana Mwambi
3.Suleiman Rashid 'Mzee wa Dozi nene'
4.Marehemu Jangala Kilongosi wa Mbuguni Mererani
5.Jumanne 'JB' Ngilisho wa Arusha
6.Stephen Ishengoma
7.Bongo Experience
8.Juma Msurvivor
9.Teddy Big Mama
10.Manka Mushi
11.Bukavu Mwandinda
12.Papaa Osama wa Dodoma
13.Frank Malecela 'Mubosi' wa Kikuyu 5 Stars Dodoma
14.David Beckham Onana wa Dodoma
15.Dismas Chabela wa Chabela Camp Dodoma
16.Juhudi Mr Luvanda wa Tunduma Mbeya
17.Sita Tuma Kubanda 'Sita wa Sita' wa Mwanza
18.James Sinje wa Mbeya
19.Lajii Freedom wa Dodoma
20.Manase R. Muhaha 'Hambako'
21. Ongeza..... Sura Mbili ( nimesahau jina la kwanza maana hii ni AKA - Huyo alikuwa akituma zile salam za kuunganisha anataja watu kama 10 kama salamu za kwanza, za pili watu kama 30..nk.. alikuwa ana kipaji cha kuongea kama cherehani!
 
Pia walikuwepo wengine ambao ni maarufu sana Radio One na RFA

1.John Zenze
2.Ndilana Mwambi
3.Suleiman Rashid 'Mzee wa Dozi nene'
4.Marehemu Jangala Kilongosi wa Mbuguni Mererani
5.Jumanne 'JB' Ngilisho wa Arusha
6.Stephen Ishengoma
7.Bongo Experience
8.Juma Msurvivor
9.Teddy Big Mama
10.Manka Mushi
11.Bukavu Mwandinda
12.Papaa Osama wa Dodoma
13.Frank Malecela 'Mubosi' wa Kikuyu 5 Stars Dodoma
14.David Beckham Onana wa Dodoma
15.Dismas Chabela wa Chabela Camp Dodoma
16.Juhudi Mr Luvanda wa Tunduma Mbeya
17.Sita Tuma Kubanda 'Sita wa Sita' wa Mwanza
18.James Sinje wa Mbeya
19.Lajii Freedom wa Dodoma
20.Manase R. Muhaha 'Hambako'

Wewe kiboko, nilitegemea nione jina lako kwenye kundi!
 
Umenikumbusha mbali sana..na hiyo ming'oko hasa ni nini maana sikupata kufahamu hasa walikuwa wanauza nini.

Kuna aina fulani ya mizizi inaliwa mfano viazi mihogo ya kuchemsha.
Watu wa pwani wenyewe wanaijua.
Kunasiku nilioneshwa pale Mbagala. Nadhani inatoka hukohuko kusini.
Asante.(sijui mama au baba?)
 
OOOH , LEO NIMEFURAHI SAAANA....hii post imenikumbusha watu niliokua nawazimia ingawa sikuwahi kuwajua kwa sura,
 
Duuh, mukiongelea RTD ya zamani mwanikumbusha mbali, enzi za watangazaji mahiri akina David Wakati, Jacob Tesha, Ngalawa, Alex Malumweme, Benjamin Kikoroma (aka Ben Kiko) etc na watuma salamu mahiri kama tunavyowajadili hapa. JF bwana, wewe acha tuuuuuuuuu!!!!!!

Na wapenzi wa FUTIBOLI,hakuna kama Charles Hirary na Abdallah Idrisa Majura na kile kipindi cha Misakato mtangazaji yule sijui aliitwa nani............!?
 
kwangu Zakaria Ndemfoo, huyu alikua kiboko ya woote kila ilipokua radio inakipindi cha salaam , kuanzia germany, KBC, kulikua na Radio moja idhaa ya Kiswahili kule South Africa, ilikua lazima aungurume kwa kishindo.
yupo Ngariba Jongo, Wajadi Fundi na Kunguru Mwoga ...sijui jina lake kamili.....oooh RTD ilikua kweli idhaa ya Taifa, woote tunaongea Lugha moja, jambo moja na hata furaha yetu ni moja.
 
Hii inaitwa Channel Africa,ipo mpaka leo
 
Kwenye kundi la akina Zakaria Ndemfoo, kuna elmaarufu mmoja mmemsahau -Haruna Damladamla
 
waswahili bwana.. sasa nimewarudisha enzi zile hata kunigongea!!! maana ukiondoa kina Chivalavala na wengine wa enzi hawa wa kizazi kipya wengine hata siwajui ila inaonekana sanaa ya kutuma salamu bado inadumu!!!
 
Unajuwa mi nahisi dhumuni la mwanakijiji lilikuwa ni kuwakumbuka wale watuma salam kwa njia ya post card na si kwa njia ya simu kama hawa kina chesco muuza matikiti.

Nahisi dhumuni lilikiwa kuwakumbuka wale wa RTD na redio za enzi zile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom