Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

From Michuzi:

1. Do! huyu jamaa amenikumbusha mabingwa wengine kama dereva abdallah mgeni wa RTC kibaha, Mnemo Bakari Mnemo, Nganda X Nganda wazamani Dua Wajaad fundi, Chivalavala A Chivalavala,Chasakata wa Chasakata, JFC Vigoron wa nampula msumbiji, Fundi viatu Juma Ramadhan Kamage Wa kata ya Puge nzega Tabora, Leonald Mwakambonje.

2. Zakaria Ndemfoo wa lake babati Salaam Club.
DSC01245.JPG

MAELEZO YANGU: Juma Ramadhani Kamage, ni school mate wangu Primary School. Alipomaliza shule ya Msingi Sikonge, alihamia Nzega na tangu hapo sijamuona tena zaidi ya baadaye kumsikia Redioni.
Kwa Sikonge tulikuwa na Mzee Faraji Miraji, fundi cherehani.
 
Huyu Chivalavala zake zilikuwa "nikiwa safarini kuelekea South, bila kusahau salamu zangu special kwa mke wangu kipenzi Ziada Napinda"
Mi nilikuwa nadhani ni South ya kwa Madiba kumbe ni south ya Mtwara.
 
Kuna S. Tingisha sijui wa wapi huyu jamani.
Bingwa wa vikwazo dunia nzima Jumanne se Barua Tingisha wa unga Limited Arusha
Amina/Hawa Sebarua wa unga Ltd Arusha
Majuto Mbogela wa Hotel Africana Tunduma (RIP)
Mwilo wa bareee wa Tunduma
(?) wa duka la Mbolea mafiati mbeya
 
Yooooote 9 ila hao ni watuma postcard...
na msoma postcard alikuwa kamanda mwenyewe mwenyewe Malima Ndelema na Halid Ponela, ktk kipindi cha Jamboooooooooo...

''Watanzania nawaamkia ktk kipindi cha jambo...
Jambo wazazi na marafiki nakukaribisha kwa jambo''...

Hivyo ndivyo kawimbo ka jambo kalivyokuwa kakirindima.
Na asilimia kubwa ya watuma salaam walikuwa wanatoka mkoa wa Tanga.

Hivi ndivyo vilikuwa vipindi bwana, sio sasa hivi eti kuna power breakfast...khaaa yaani ni uharo mtupu.
 
Dah mdau hapo umegonga kwenyewe..huyo alikuwa bingwa wa salam enzi hizo
Yupo mmoja anaitwa Saidi wa Mahuta shimboni...

...na mwingine 'Sama Nassor Sama' wa mahuta shimoni Newala!
 
Thobias Mnyani wa uhuru na msimbazi. Rashid nguruwe wa korogwe.Bingwa wa salam tanzania alikuwa Zakaria Ndemfoo,radio zote za kiswahili kuanzia germany,south africa nk lazima utamsikia- Aliwahi kusema asiposikia jina lake redioni hupungua nusu kilo

Hapo unapozungumzia idhaa ya kiswahili sauti ya Ujerumani unanikumbusha akina
Kajole wa Kajole.

Asante mkuu.
 
Mna wakumbuka hawa:
Suleiman Mkalakala
Mugwagwa wa Mugwagwa
Bi Ngariba Jongo.

Yaaniiiii we .............
 
Pasco,

Kumbe kununua waandishi wa habari kumeanza siku nyingi? Loohh

Ni vizuri kufahamu hilo maana wengine tunafikiri hii kitu imeanza na ufisadi.
.
Ndugu yangu Mkuu Sikonge , haikuwa kihivyo.
Kwa RTD ya enzi zile, Watangazaji walikuwa ni watangazaji tuu, na kulikuwa na waandishi wa habari wakifanya kazi newsroom. Hizo 100 zilikuwa ni appreciation kama takrima fulani kushukuru kuwapaisha.

Angalizo: Kuna tofauti kati ya kuwanunua waandishi ili ama wakutumikie ama wakufichie machafu yako, ama wawachafue wengine, na kuwapa waandishi vile vibahasha ili kuwafacilitate kutimiza wajibu wao.

Ile bahasha ya facilitation, inatolewa kwa uwazi, wanasainishwa, na lengo lake sio kuimfluance news bali kuwezesha nauli waandishi wafike mahali husika, ama kurejea walikotoka.

Hii ni sawa na sitting allowance kwenye vikao, transport kwenye semina, warsha na makongamano au lunch tuu ambayo hadi Ikulu wanatoa. Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa
P
 
Hahaaaaaaa,Mwanakijiji..Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,umenikumbusha vipindi vya Jambo na Mchana Mwema(Pokea Salamu) pale Radio Tanzania bila kusahau kipindi cha usiku cha Kijaruba cha Abdallah Mlawa,hivi vilikuwa ni vipindi maarufu sana vya salamu...Ilikuwa ukisikiliza vipindi hivi ni lazima utakutana na majina haya

1.Issa Hasssan Madjeshi

2.Chidi Chidi Chitenda

3.Chivalavala wa Chivalavala

4.Limonga Justin Limonga

5.Duwa Wajadi

6.Wajadi Fundi

7.Mohammed Kassim Saibaba

8.Jai Sikinde

9.Maalim Shabani Uledi

10.Boko Man Mwana wa Mkongoman
 
.
Ndugu yangu Sikonge, haikuwa kihivyo. Kwa RTD ya enzi zile, Watangazaji walikuwa ni watangazaji tuu, .......................

Duuh, mukiongelea RTD ya zamani mwanikumbusha mbali, enzi za watangazaji mahiri akina David Wakati, Jacob Tesha, Ngalawa, Alex Malumweme, Benjamin Kikoroma (aka Ben Kiko) etc na watuma salamu mahiri kama tunavyowajadili hapa. JF bwana, wewe acha tuuuuuuuuu!!!!!!
 
Hahaaaaaaa,Mwanakijiji..Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,umenikumbusha vipindi vya Jambo na Mchana Mwema(Pokea Salamu) pale Radio Tanzania bila kusahau kipindi cha usiku cha Kijaruba cha Abdallah Mlawa,hivi vilikuwa ni vipindi maarufu sana vya salamu...Ilikuwa ukisikiliza vipindi hivi ni lazima utakutana na majina haya

1.Issa Hasssan Madjeshi

2.Chidi Chidi Chitenda

3.Chivalavala wa Chivalavala

4.Limonga Justin Limonga

5.Duwa Wajadi

6.Wajadi Fundi

7.Mohammed Kassim Saibaba

8.Jai Sikinde

9.Maalim Shabani Uledi

MHHH! Kweli una kumbukumbu nzuri mwenzetu!,, hiyo Justine ilikuwa ikivutwa sana..JAAAASTIN Limonga!
 
namkumbuka chesiko mzee wa matunda nadhani ameshafulia sasa ..Baba desi akiwa pale Tanga barabara ya 17
 
Hahaaaaaaa,Mwanakijiji..Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,umenikumbusha vipindi vya Jambo na Mchana Mwema(Pokea Salamu) pale Radio Tanzania bila kusahau kipindi cha usiku cha Kijaruba cha Abdallah Mlawa,hivi vilikuwa ni vipindi maarufu sana vya salamu...Ilikuwa ukisikiliza vipindi hivi ni lazima utakutana na majina haya

1.Issa Hasssan Madjeshi

2.Chidi Chidi Chitenda

3.Chivalavala wa Chivalavala

4.Limonga Justin Limonga

5.Duwa Wajadi

6.Wajadi Fundi

7.Mohammed Kassim Saibaba

8.Jai Sikinde

9.Maalim Shabani Uledi

Broda nimekuaminia hahahah
 
Katika kipindi hicho kuna watuma salam wengine walikuwa wanafurahisha kwenye salam zao hasa pale wanaposema Ujumbe kama
Kula na kulipa ndo mtindo wa kisasa...
Salam ni nusu ya kuonana..na nyinginezo.

Unawakumbuka hawa
Damas Lusinde Nyingo

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
 
Pia walikuwepo wengine ambao ni maarufu sana Radio One na RFA

1.John Zenze
2.Ndilana Mwambi
3.Suleiman Rashid 'Mzee wa Dozi nene'
4.Marehemu Jangala Kilongosi wa Mbuguni Mererani
5.Jumanne 'JB' Ngilisho wa Arusha
6.Stephen Ishengoma
7.Bongo Experience
8.Juma Msurvivor
9.Teddy Big Mama
10.Manka Mushi
11.Bukavu Mwandinda
12.Papaa Osama wa Dodoma
13.Frank Malecela 'Mubosi' wa Kikuyu 5 Stars Dodoma
14.David Beckham Onana wa Dodoma
15.Dismas Chabela wa Chabela Camp Dodoma
16.Juhudi Mr Luvanda wa Tunduma Mbeya
17.Sita Tuma Kubanda 'Sita wa Sita' wa Mwanza
18.James Sinje wa Mbeya
19.Lajii Freedom wa Dodoma
20.Manase R. Muhaha 'Hambako'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom