Mnawafahamu waliompachika Dkt. Salim Ahmed Salim jina la Hezbollah katika kugombea Madaraka?

Genge la Mkwere! Wapo hapo nje wanapasha kuingia uwanjani!
(Nipo kwenye ibada nikitoka nitaeleza kwa marefu na mapana, nimepata nafasi ya kuja jf kwakuwa naona kunachozungumziwa hapa kanisani sio kuacha dhambi, tunaambiwa kuchanga pesa tu haijalishi umezipata kwa njia ipi Mungu anahitaji pesa Sana siku hizi!)
Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari muachia Kaisari.
 
Niliwahi mjibu mtu humu 19/12/2017

Mwinyi hakumgeuka Dr salim
Inaelezwa kuwa mwaka 1985 wakati wa kumtafuta mrithi wa mwalimu.

Inasemekena mwalimu nyerere alikuwa akimtaka sana Dr.salim ila mwalimu aliogopa fitna za makundi hasimu ya wanamstari(frontliners) na wale wagombozi (linerators) hii ilipelekea mwalimu nyerere kusuka njama.

Mwalimu nyerere alimfuata rais mwinyi wakati huo alikuwa ni rais wa zanzibar akamwambia ali ntakupendekeza kuwa mrithi wangu kwa urais wa bara ila wewe ukatae..inasemekana ali (mwinyi) alikubali lakini kabla ya kikao kuanza ali(mwinyi) alimfuata sheikh thabit kombo(mshauri mkuu wa mwalimu nyerere kuhusu maswala ya zanzibar na huyu ndo alimpendekeza mwinyi kuwa rais wa zanzibar)
Akamwambia sheikh thabit mwalimu kanambia "anipendekeze kuwa mrithi wake lakini akasema niikatae nafasi".
Sheikh thabit akamwambia "ataka kukufanya punda wa dobi eeee,usikubali yeye akishakupendekeza kwenye mkutano wewe kubali"

Basi baadae kikao kikaanza huku mwalimu hajui hili wala lile ana confidence kuwa atampendekeza ali(mwinyi) kuwa mrithi wake alafu mwinyi atakaa basi kwake itakuwa rahisi kupendekeza jina la Dr.salim.

Basi ghafla mwalimu akapendekeza jina la rais wa zanzibar mwinyi kuwa mrithi wake JMT kwa kujiamini kabisa.
Ilipofika zamu ya kuzungumza mwinyi AKAKUBALI dah mwalimu akatahayari hakuamini macho yake aliona kama mwinyi kamgeuka.
Kwa hiyo mchezo ukaisha pale pale
Mwalimu 0-3mwinyi na makundi hasimu ya Dr.salim.
nchi ngumu sana hii
 
Hizi dini mnazogombania wenzenu walizileta ili mgombane vizuri hivyo wakiliona hili wao hufurahia zaidi

Ifikie hatua tujitambue! Mungu gani anayependa matabaka?

Ni lini mtatambua kuwa dini ni tamaduni za jamii fulani!?

Yaani hamjui kabisa kuwa uislamu ni utamaduni wa waarabu na ukristo ni utamaduni wa wamagharibi!?

Kuendekeza haya ni upuuzi tu! Naskia huyu nae ametuletea salamu vuragizi ili kukwepa kutamka "Bwana yesu asifiwe".... upuuzi tu na ukoloni mamboleo ndio vinavyotusumbua waafrika. Kwani ukisimama ukasema 'habari za saa hizi" unapungukiwa na nini?

Mkuu,labda kama nyinyi christians mnasadiki hivyo kuwa dini ni utamaduni ulioletwa na wazungu na kwamba hauna direct connection na mungu wenu it's okay ni sawa,

Ila kwa upande wetu sisi,dini siyo tuh utamaduni,dini ni mfumo mzima wa maisha ambao unatuwezesha kuungana kiroho na muumba wetu kwa kufuata maamrisho yake yote na kuacha makatazo yake yote,bila hiyari...kwetu sisi it's a complete way of life,even though nakubali kwamba our messenger ni mwenye asili ya uarabu lakin hiyo haiwez kutuondoa kwenye mstar kwamba huo ni utamaduni tuh wa waarabu,coz wapo waarabu wengi pia ambao hawaukubali huu mfumo wa uislam na wanaufuata ukristo au iman zingine kabisa kabisa,so uislam siyo uarabu,Ila alieifikisha hii meseji ya uislam from god ni muarabu,please be informed kwa hilo
 
Genge la Mkwere! Wapo hapo nje wanapasha kuingia uwanjani!
(Nipo kwenye ibada nikitoka nitaeleza kwa marefu na mapana, nimepata nafasi ya kuja jf kwakuwa naona kunachozungumziwa hapa kanisani sio kuacha dhambi, tunaambiwa kuchanga pesa tu haijalishi umezipata kwa njia ipi Mungu anahitaji pesa Sana siku hizi!)

Mkuu,labda kama nyinyi christians mnasadiki hivyo kuwa dini ni utamaduni ulioletwa na wazungu na kwamba hauna direct connection na mungu wenu it's okay ni sawa,

Ila kwa upande wetu sisi,dini siyo tuh utamaduni,dini ni mfumo mzima wa maisha ambao unatuwezesha kuungana kiroho na muumba wetu kwa kufuata maamrisho yake yote na kuacha makatazo yake yote,bila hiyari...kwetu sisi it's a complete way of life,even though nakubali kwamba our messenger ni mwenye asili ya uarabu lakin hiyo haiwez kutuondoa kwenye mstar kwamba huo ni utamaduni tuh wa waarabu,coz wapo waarabu wengi pia ambao hawaukubali huu mfumo wa uislam na wanaufuata ukristo au iman zingine kabisa kabisa,so uislam siyo uarabu,Ila alieifikisha hii meseji ya uislam from god ni muarabu,please be informed kwa hilo
Elimu sio kukaa darasani na kukariri vitabu. Elimu halisi ni ule uwezo wa kutumia vema akili na utashi tuliopewa na Mwenyezi Mungu!

Naomba niishie hapa maana tunajadili kuhusu Salim Ahmed Salim na si vinginevyo ambaye pamoja na Uislamu na "Uarabu" wake lakini tunaambiwa aliaminiwa sana Mwl. Nyerere.

Tujikite katika hili haya mengine ya dini yana jukwaa lake. Asante
 
Niliwahi mjibu mtu humu 19/12/2017

Mwinyi hakumgeuka Dr salim
Inaelezwa kuwa mwaka 1985 wakati wa kumtafuta mrithi wa mwalimu.

Inasemekena mwalimu nyerere alikuwa akimtaka sana Dr.salim ila mwalimu aliogopa fitna za makundi hasimu ya wanamstari(frontliners) na wale wagombozi (linerators) hii ilipelekea mwalimu nyerere kusuka njama.

Mwalimu nyerere alimfuata rais mwinyi wakati huo alikuwa ni rais wa zanzibar akamwambia ali ntakupendekeza kuwa mrithi wangu kwa urais wa bara ila wewe ukatae..inasemekana ali (mwinyi) alikubali lakini kabla ya kikao kuanza ali(mwinyi) alimfuata sheikh thabit kombo(mshauri mkuu wa mwalimu nyerere kuhusu maswala ya zanzibar na huyu ndo alimpendekeza mwinyi kuwa rais wa zanzibar)
Akamwambia sheikh thabit mwalimu kanambia "anipendekeze kuwa mrithi wake lakini akasema niikatae nafasi".
Sheikh thabit akamwambia "ataka kukufanya punda wa dobi eeee,usikubali yeye akishakupendekeza kwenye mkutano wewe kubali"

Basi baadae kikao kikaanza huku mwalimu hajui hili wala lile ana confidence kuwa atampendekeza ali(mwinyi) kuwa mrithi wake alafu mwinyi atakaa basi kwake itakuwa rahisi kupendekeza jina la Dr.salim.

Basi ghafla mwalimu akapendekeza jina la rais wa zanzibar mwinyi kuwa mrithi wake JMT kwa kujiamini kabisa.
Ilipofika zamu ya kuzungumza mwinyi AKAKUBALI dah mwalimu akatahayari hakuamini macho yake aliona kama mwinyi kamgeuka.
Kwa hiyo mchezo ukaisha pale pale
Mwalimu 0-3mwinyi na makundi hasimu ya Dr.salim.
Huu ndio umbea ulio enda shule,na vitu kama hivi ndio vina fanya watu waandike kuhusu wasifu wao ili kuondoa upotoshaji kama huu.
kitabu cha Mwinyi kinapatikana wapi kesho nidemke.
 
Nakubaliana na hoja ya mama Mongela ila sababu haikuwa dini sababu kubwa ni watu wazima kuona kwanini Salim kijana mdogo anapewa urais nsio wakampenyezea hoja mama Mongella ambaye alimkabili Nyerere na kumwuliza kwanini anamwacha makamu wake wa rais nq kuchagua mtu mwingine dunia itamwelewaje au alikuwa amemweka makamu wa rais kama boya hapa waliungana na wazanzibar wa unguja wasiotaka kutawaliwa na wapembapamoja na wafidhihina wa bara
[/QUOTE
Baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na makubaliano baina ya waasisi wa mapinduzi kuwa watu toka Pemba ( hasa we ye damu ya kiarabu ) wasipewe nafasi za kisiasa ila zile za kitaalamu tu na walilishana yamini katika kuhakikisha hilo halitokei.

Hivyo Salim alipokuwa aneteuliwa na mwalimu ili awe Rais wa muungano wale wahafidhina wa Unguja waliona hiyo itakuwa hatari kwa mustakabali wa mapinduzi ya zanzibar ( kumbuka yale mapinduzi yalifanywa na waunguja tupu). Kwa kuwa waliona peke yao hawawezi kumzuia mwalimu basi walitafuta msaada wa kina Mongella huku Tanganyika na pia Mwinyi alishawishiwa kuwa atakapopendekezwa agome kujitoa ilu kura zipigwe( mpango wa Nyerere ilikuwa Mwinyi apendekezwe pamoja na Salim kisha akatae na kujitoa ) hivyo baada ya majina kupendekezwa Mwinyi aligoma kujitoa ikabidi kura zipigwe; kwa kuwa Mongella alishamibilise wajumbe wengi toka Tanganyika wampigie kura Mwinyi na wale wa Unguja wote wakampigia Mwinyi hivyo akashinda. In short, mpango wa Nyerere ulibackfire.
 
Elimu sio kukaa darasani na kukariri vitabu. Elimu halisi ni ule uwezo wa kutumia vema akili na utashi tuliopewa na Mwenyezi Mungu!

Naomba niishie hapa maana tunajadili kuhusu Salim Ahmed Salim na si vinginevyo ambaye pamoja na Uislamu na "Uarabu" wake lakini tunaambiwa aliaminiwa sana Mwl. Nyerere.

Tujikite katika hili haya mengine ya dini yana jukwaa lake. Asante

Asante...
 
Baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na makubaliano baina ya waasisi wa mapinduzi kuwa watu toka Pemba ( hasa we ye damu ya kiarabu ) wasipewe nafasi za kisiasa ila zile za kitaalamu tu na walilishana yamini katika kuhakikisha hilo halitokei.

Hivyo Salim alipokuwa aneteuliwa na mwalimu ili awe Rais wa muungano wale wahafidhina wa Unguja waliona hiyo itakuwa hatari kwa mustakabali wa mapinduzi ya zanzibar ( kumbuka yale mapinduzi yalifanywa na waunguja tupu). Kwa kuwa waliona peke yao hawawezi kumzuia mwalimu basi walitafuta msaada wa kina Mongella huku Tanganyika na pia Mwinyi alishawishiwa kuwa atakapopendekezwa agome kujitoa ilu kura zipigwe( mpango wa Nyerere ilikuwa Mwinyi apendekezwe pamoja na Salim kisha akatae na kujitoa ) hivyo baada ya majina kupendekezwa Mwinyi aligoma kujitoa ikabidi kura zipigwe; kwa kuwa Mongella alishamibilise wajumbe wengi toka Tanganyika wampigie kura Mwinyi na wale wa Unguja wote wakampigia Mwinyi hivyo akashinda. In short, mpango wa Nyerere ulibackfire.
 
Huu ndio umbea ulio enda shule,na vitu kama hivi ndio watu watu waandike kuhusu wasifu wao ili kuondoa upotoshaji kama huu.
kitabu cha Mwinyi kinapatikana wapikesho nidemke.
Sio umbea niliyoyasema 2017 yote kwa zaidi 85% yameelezwa pia katika kitabu cha Mzee Mwinyi.

Nenda pale Samora TPH nunua alafu ukisome ndio urejee kuita umbea.
 
Genge la Mkwere! Wapo hapo nje wanapasha kuingia uwanjani!
(Nipo kwenye ibada nikitoka nitaeleza kwa marefu na mapana, nimepata nafasi ya kuja jf kwakuwa naona kunachozungumziwa hapa kanisani sio kuacha dhambi, tunaambiwa kuchanga pesa tu haijalishi umezipata kwa njia ipi Mungu anahitaji pesa Sana siku hizi!)
Je Mwalimu alipomtaka SAS miaka ya 80 na akapita Mzee Mwinyi badala yake napo mkwere alihusika? Je genge hilo lililomkataa Dr. Salim 1985 lilishakufa? Chuki nyingi huondoa maarifa...
 
Wakati inasimuliwa historia ya maisha ya Mzee Ali Hassan Mwinyi kwenye maisha yake ya uongozi na Professor Mukandala kipengele hiki alikizungumzia,ni kinani hao tuwafahamu kwa mlio na kumbukumbu mpaka ilipelekea Mzee Mwinyi atengeneze nafasi ya naibu waziri mkuu na nafasi hizo na ile ya wizara ya ulinzi kukabidhiwa Dr Salim?

Kwangu mimi nakumbuka nikiwa na utimamu wa kufuatilia siasa nchini hali hii ilijitokeza pia wakati hayati Mzee Mkapa anamaliza muda wake ,fimbo hii pia ilitumika kumchapiaDr Salim tena kwenye kinyang'anyiro cha awamu ya nne
Cha kustaajabisha Dr Salim sikuwahi kwenye maisha yangu kumskia akilalamika sehemu yoyote ile ,bali alibaki kimya kwenye kigoda cha Mwalimu,bila ya kuwa na nongwa .nionavyo Maisha ya Mzee Mwinyi na Dr Salim ni kama yanashabihiana kwa namna moja ama nyingine
Wapo hapo sebuleni mkuu, tena wamerudi kwa kasi ya roketi.
 
Wakati wa kumtafuta mrithi wa Rais Jumbe kulikuwa na makundi mawili mahasimu.

Kundi la kwanza wakijiita Frontliners(Wanamstari) hili lilikuwa kundi la vijana wa wakati huo linalotaka mabadiliko na nafasi ya Uongozi kushikwa na vijana kundi hili likijumuisha vijana wa wakati huo Dr. Salmin Amour, Maalim Seif Sharif Hamad, Seif Khatib na wengineo lilikuwa linapinga wahafidhina waasisi wa mapinduzi.

Kundi la pili likiitwa Liberators(Wakombozi wa Mapinduzi) lilikuwa kundi la kihafidhina(Conservative) lilikuwa na wajumbe wazee wa makamo wakati huo Wakina kanali Seif Bakari,Meja Gen Abdallah Natepe,Brig Gen Ramadhan Fakhi nk
Kundi hili ndio lilikuwa halimtaki Dr. Salim licha ya mwalimu kulisihi sana
Ilibidi Mwalimu akutane na wajumbe kutoka Zanzibar mchana ule ili kuwashinikiza wamkubali Dr. Salim, wakakataa kata kata wakawa wanasimamia hoja kuu tatu

1.Dr Salim hatokani na kizazi cha kimapinduzi, hana damu ya kimapinduzi

2.Asili ya Dr. Salim ni mwarabu na wao wakombozi waliikomboa nchi toka kwa waarabu kwa hiyo hawawezi mkabidhi tena mtu mwenye asili ya kiarabu.

3.Dr Salim ni hizbu(Nationalistic Party)
Kwa kuwa Dr Salim aliwahi kuwa hizbu kabla ya kujiunga na ASP
Hizbu ndio chama kilichotolewa na kupinduliwa kikiongozwa na Sheikh Mohammed Shamte.

Dr. Salim alisakamwa sana. Nyakati za mapumziko ya kikao alimfuata Mwalimu huku akilia na kutokwa na machozi akamuuliza Mwalimu ".. Tatizo ni Asili yangu, ndio maana napewa shutuma zote hizi???... "

Kumbuka huyu ndiye aliyekuwa chaguo la Mwalimu ilibidi ampooze na Mwalimu akashindwa na kundi la Wakombozi kumfanya Dr. Salim kuwa rais wa zanzibar ile January 1984.
Baada ya Jumbe kuondolewa mwalimu alitaka Maalimu Seif awe mrithi wa Jumbe lakini mwalimu alikuwa kabla ya kufanya jambo lolote lazima apate ushauri wq Thabiti Kombo wakati huo alikuwa amelazwa kcmc alipomfata na kumweleza alimkatalia akamwambia amchague Mwinyi kwa sababu alikuwa anamwamini akafata ushauri wake
 
Niliwahi mjibu mtu humu 19/12/2017

Mwinyi hakumgeuka Dr salim
Inaelezwa kuwa mwaka 1985 wakati wa kumtafuta mrithi wa mwalimu.

Inasemekena mwalimu nyerere alikuwa akimtaka sana Dr.salim ila mwalimu aliogopa fitna za makundi hasimu ya wanamstari(frontliners) na wale wagombozi (linerators) hii ilipelekea mwalimu nyerere kusuka njama.

Mwalimu nyerere alimfuata rais mwinyi wakati huo alikuwa ni rais wa zanzibar akamwambia ali ntakupendekeza kuwa mrithi wangu kwa urais wa bara ila wewe ukatae..inasemekana ali (mwinyi) alikubali lakini kabla ya kikao kuanza ali(mwinyi) alimfuata sheikh thabit kombo(mshauri mkuu wa mwalimu nyerere kuhusu maswala ya zanzibar na huyu ndo alimpendekeza mwinyi kuwa rais wa zanzibar)
Akamwambia sheikh thabit mwalimu kanambia "anipendekeze kuwa mrithi wake lakini akasema niikatae nafasi".
Sheikh thabit akamwambia "ataka kukufanya punda wa dobi eeee,usikubali yeye akishakupendekeza kwenye mkutano wewe kubali"

Basi baadae kikao kikaanza huku mwalimu hajui hili wala lile ana confidence kuwa atampendekeza ali(mwinyi) kuwa mrithi wake alafu mwinyi atakaa basi kwake itakuwa rahisi kupendekeza jina la Dr.salim.

Basi ghafla mwalimu akapendekeza jina la rais wa zanzibar mwinyi kuwa mrithi wake JMT kwa kujiamini kabisa.
Ilipofika zamu ya kuzungumza mwinyi AKAKUBALI dah mwalimu akatahayari hakuamini macho yake aliona kama mwinyi kamgeuka.
Kwa hiyo mchezo ukaisha pale pale
Mwalimu 0-3mwinyi na makundi hasimu ya Dr.salim.
Hapana kura zilipigwa kwenye halmashauri kuu mwinyi akashinda
 
Salim alikuwa kijana Sana wakati anaanza siasa..
Kumbuka anaenda kuwa Balozi Misri ana miaka 18 Tu ndo akaenda kusoma huko huko..

Alipaswa kuandika historia yake..
Alikuwa anapigwa vita na wengi
Nimeshangaa sana kati ya watu walioitangazq Tanzania kimataifa ninDr. Salim kama sio siasa za wakati ule Salim ndie angekuwa kqtibu mkuu wa UN kutoka Afrika
 
Siasa za dunia ngumu sana
Salim alikuwa awe Katibu Mkuu wa UN..
Shida ilikuwa USA...wao USA wanadai 'ali celebrate 'China kupewa permanent membership..
Lakini deep down nafikiri middle East politics zili play...
Angekuwa first Muslim UN secretary..
Hata Boutros Ghali alikuwa first Arab but cristian...

Siasa za middle East zina nguvu sana
Kuna madai Yule katibu wa UN aliekufa Kwa ajali huko Congo kuna 'foul play'ilifanyika
 
Kawawa funika kikombe....
Kawawa aliaminiwa zaidi na Nyerere
Na alikuwa tayari kubeba lawama zote za serikali Kwa niaba ya Nyerere
Usisahau Kawawa aliachiwa uwaziri mkuu
Kabla nchi haijawa Jamhuri na akaja kumrudishia Nyerere power..
Unbelievable in Africa
 
Back
Top Bottom