Haya mkuu, tujaribu kwa taraka rejea basi.No ! Itadumu, mbona rwanda burundi zimedumu na hazikuungana na taifa lolote. Fikra za kijamaa haziwezi kuendelea kudumu. Muungano huu unalindwa tu tamaa za watawala kupenda kuwatawala watu wengi zaidi. Ila zanzibar bila tanganyika inawezekana bila shaka yoyote. Muungano ambao kuungana kwake kumefanyika kijanjajanja hauna vielelezo vya kujitosheleza kisheria. Inatosha sasa tuishi kwa fikra na manufaa ya waliohai aliyepita aliondoka na mawazo yake ! katiba mpya yatosha kuuvunja muungano
Mbona hili lipo wazi jamani, si kwa manufaa ya OMAN waliofurusha kwenye mapinduzi ya Zanzibar 1964.
uko sahihi mkuu...maana ata farid ni mwarabu wa oman,ndio maana uhamsho wote waharabu hakuna mzanzibar asilia(mweusi) ata mmoja.
Mwekundu ndiyo muarabu koko??Nakutajia viongozi wa UAMSHO maana inawezekana akili yako imeharibika kwa kuvimbiwa KITI MOTO au wajitia wazimu wa makusudi
1- Sheik Msellem Ally (Mweusi) Amiri (Kiongozi) mkuu wa UMSHO mtu wa Donge Unguja
2- Sheikh Azzan (Mwekundu) naibu Amiri UAMSHO, Mtu wa Mfenesini Unguja
3- Sheikh Farid (Mwekundu) Amiri JUMAZA, Mtu wa Pemba
4- Sheikh Suleiman Haji (Mweusi) Muhadhiri, amechanganya upande mmoja anatoka Tanganyika
5- Sheikh Mussa Juma (Mweusi) Muhadhiri, Mtu wa Donge Unguja
Ukiwatoa hao wawili waliobakia wote weusi, sasa unaposema UAMSHO ni waarabu au Wapemba mimi nashindwa kukuelewa!
Waliokuwa wakijibu ni kikundi kidogo cha akina mama ambao hawawezi kuwakilisha maoni ya Wazanzibari wote, iitishwe kura ya maoni upande wa Zanzibar na Tanganyika ili tuweze kufikia maamuzi ya haki.
Si kweli, walijibu ni Wazanzibar waliohudhuria mahakamani
kwenda kusikiliza shauri hilo.
Mwekundu ndiyo muarabu koko??
Kwa nini msiondoke huku Bara? mmeng'ang'ania tu Muungano MUUNGANO Kwenye Bunge naibu Waziri kaulizwa mbona Wazanzibar wakija Bara wanachukua viwanja lakini wabara wakienda Visiwani wananyimwa akajibu Wamasaai wamejazana zanzibarNyuma ya kina Farid, wako wazanzibar, hata hivyo ni bora kutawaliwa
na YEMEN au OMAN kuliko Tanganyika.
Mimi binafsi nasoma Chuo ambacho kipo senti mita chache kutoka katika Mahakama na siku hiyo nilikwuwepo Mahakamani na tulikua na wanafunzi wenzangu wasiopungua 70, ukitoa sisi wanafunzi na wale waliokuja kusikiliza kesi kuna na watu wengine waliopaza sauti zao na kusema "HATUUUTAKIIII" ambao hata huwezi kuwafikiriaa.!!
Kama unaupenda sana Muungano kwa nini unapendekeza utengano zaidi (serikali tatu) kuliko huu wa sasa (serikali mbili)? Kwani mna tofauti gani au matatizo gani na Wazanzibar kiasi kwamba hamuwezi ku share nchi moja, Rais mmoja, serikali moja?Napendekeza muundo wa serikali 3 (ya Tanganyika, ya Zanzibar na ya Muungano) badala ya kuvunja muungano.
Jajani, kama unasema kwamba Muungano ukivunjika watakaopata shida ni Wazenji ina maana Wazenji wanafaidika zaidi, sio? Sasa mimi Mtanganyika utaniambia nini niuepende Muungano ambao ni wazi kabisa upande mmoja ndio unaobebwa na kufaidika?Huu muungano ukiharibika watakapata shida ni Wazenji.
Kenya, Zambia, Rwanda, Zimbabwe hawana Muungano na mtu na wanatuacha mbali kwa kila kitu.Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Zanzibar watulie.
swali ni kweli na nyie wanafunzi zaidi ya 70, mlisema HATUUTAKI? basi itakuwa Zanzibar yote
Tupeni ukweli km mnakerwa wote andamaneni Muungano uvunjike kuliko kushinikizwa na hao Waarabu koko maana hawaruhusiwi kwenda na kuishi Oman sembuse kuoa tu
Hebu niulizie maana ya Methali PUNDA HAPANDI MUSCAT hapo ndio mtaamini ni wabaguzi na hawafai na Muungano uvunjike tu hata kesho, wamalizane wao kwa wao
Kama nina akili za Samaki nashukuru ila jibu swali PUNDA HAPANDI MUSCAT na punguza munkari, madharau na matusi hivyo Visiwa sio vya Waarabu wa Oman (Bara Arabia)Kama umeyafahamu vizuri maelezo yangu hukua na sababu ya kuniuliza SWALI lakini sikushangaa inawezekana una 'Akili za samaki'
Hivi kwanini nyinyi WATANGANYIKA hua munapenda sana kututishia mwarabu kila tunapojaribu kutoa hisia zetu kuhusu Muungano, mbona nyinyi hatuwasikii mukijengeana hofu kuhuru Muingireza! Hata wakija hao WAARABU na kututawala nyinyi mutapungukiwa na kitu gani? Wacheni hizo bwanaaaa mambo ya kutishana yameshapitwa na wakati.