Mnatutenga sana sisi wenye akili na ufahamu wa juu. Ubaguzi wenu unaonekana wazi wazi

Hawawezi kufaulu pamoja na Nguvu nyingi za.Marekani hawezi kumtenga Mwisrsel kamwe
 
Inasikitisha sana sisi wenye akili tumekuwa tukitengwa na threads zetu wakati mwingine zinaondolewa au zinakosa wachangiaji.

Sababu wasio na akili ni wengi na wanashirikiana sana. Wanapeana supports kwa threads zao.sisi wenye akil tupo wachache na sometime hatupeani support sana sana tunakosoana sana.

Hali hii imesababisha sometime nami nitamani kuwa kama wale wasio na akili.nashindwa najitahidi hata kuiga kuanzisha threads zao lakini nashindwa.wao wana uzoefu mkubwa

Jamani msitutenge nasi pia tupo.hatukuomba kuumbwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu.msituone kama si binadamu wenzenu.najua wapumbavuh ni wengi sana nchini kuliko wenye hekima. Ndo maana hata mtu mwenye akili kushinda ubunge au nafasi nyingine ya kisiasa ni ngumu sana.

Ila wale wengine wanashinda kirahisi sababu wapo wengi.wana wafuasi wengi sana.
Wengine wamepenypenya sasa ni top nchii hii, wakati kina mwandosya wanalima ndizi huko Rungwe
 
Inasikitisha sana sisi wenye akili tumekuwa tukitengwa na threads zetu wakati mwingine zinaondolewa au zinakosa wachangiaji.

Sababu wasio na akili ni wengi na wanashirikiana sana. Wanapeana supports kwa threads zao.sisi wenye akil tupo wachache na sometime hatupeani support sana sana tunakosoana sana.

Hali hii imesababisha sometime nami nitamani kuwa kama wale wasio na akili.nashindwa najitahidi hata kuiga kuanzisha threads zao lakini nashindwa.wao wana uzoefu mkubwa

Jamani msitutenge nasi pia tupo.hatukuomba kuumbwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu.msituone kama si binadamu wenzenu.najua wapumbavuh ni wengi sana nchini kuliko wenye hekima. Ndo maana hata mtu mwenye akili kushinda ubunge au nafasi nyingine ya kisiasa ni ngumu sana.

Ila wale wengine wanashinda kirahisi sababu wapo wengi.wana wafuasi wengi sana.
Ukitaka kufanikiwa nchi hii huwe hauna akili!!.....ukiwa na akili utawekewa vizingiti kila mahali
 
Kama hujaweza shawishi wengine kusoma nyuzi zako basi wewe ni empty kabisa
 
Hahaha hicho ndo kinanipa stimu Mkuu!
Ndo yangu na beer ishavunjikaga

duh..niliKua sijawah kukinywa siku tukakifakamia na shost angu back then..jaman ilitupeleka vby sn mpk leo sijui tulifikaje mjini..tulikua nje kidg ya mji.kwanza tulicheka had vichwa kuuma..since then sitak tena aisee... inatindua akili kbs
 
Na wewe una akili
Sentensi yako ipo katika hali gani? Samahani upeo wangu ni mdogo umeshindwa kung'amua kama ni kuthibitisha mwanzisha Uzi ana akili? Au ulikuwa unauuliza? Au ulikuwa unataka kukanusha lakini kwa namna ya kipekee?

Msaada tafadhali, kwa Mimi mwenye ufahamu mdogo.
 
😂😂😂😂😂umenikumbusha shule.ya msingi..mtu anasoma ila haweki nukta au kuonyesha kiulizo au mshangao yy anasoma tu..penye nukta yy anauliza😂😂😂..yaan full vurugu...
 
Back
Top Bottom