GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Hatakuwa na jambo jipya ni yale yale ya siku zote ya kuhusiana na bunge. Maana kuna watu wanadhana ana uwezo wa kumkosoa mh rais. Hawezi. Bunge limeshatolewa meno. Limekuwa kibogoyo na kwa kiasi kikubwa linategemea kunywa uji toka serikalini.
Msitegemee kitu. Ni business as usual. Hamna jipya.
Msitegemee kitu. Ni business as usual. Hamna jipya.