ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,318
- 50,531
Mnaodai vyeti na mnatakiwa mjue kuwa rais anapokea brief summary kila siku juu ya mambo yote ambayo ya naendelea nchini. Usalama upo na unafanya kazi chini ya ofisi Yake. Kwa hivyo Kifupi Rais anajua mengi kuliko mtu mwingine Kwa hiyo rais ameshajua a to Z ya hili suala la vyeti amejua kelele zote chanzo ni nini. Natoa Ushauri mbadili hio single yenu Acheni kusema "bashite wekA vyeti" badilisheni IWE ya kumtaka rais kumtumbua. Kwa sababu lengo la kudai vyeti ili viwekwe Sasa kama haviwekwi kwanini msi ruke hio step na lingua ngazi nyingine Ya kutaka hatua nyingine mtabaki kuvisubiri mpaka lini? Ila nawakumbusha tu Hisia zinazowatuma kuwa mko wengi Mnaodai vile vile wako mamilioni ya watu ambao pia wamekaa kimya Ila wako upande wa makonda, wako mamilioni ya watu ambao wanamuhitaji makonda aendelee kuwepo pale. Endeleeni kusubiri vyeti hapo hapo. Endeleni Tu kusubiri maana hakuna namna au muingie kwenye hatua nyingine