Mnataka kuendesha nchi kwa kodi za boda boda

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Sina mengi lakini nasema hivi kushindwa kupandisha uchumi wa nchi na kuuwa kabisa imetokana na mawazo yenu ya kutaka kuongoza nchi kwa kutumia kodi za boda boda na faini za barabarani.

Mkuu wa kaya tafakari upya bila hivyo tunaelekea shimoni.
 
Ila kiukweli bodaboda,waendesha pikipiki na vyombo vyote vya moto,wanisoma katika awamu hii...dah!
30,000,60,000 au hata 90,000 kuwatoka ni kitu cha kawaida!
Polisi na vyombo vya usalama vimeula sana awamu hii ya tano!
 
Sina mengi lakini nasema hivi kushindwa kupandisha uchumi wa nchi na kuuwa kabisa imetokana na mawazo yenu ya kutaka kuongoza nchi kwa kutumia kodi za boda boda na faini za barabarani.

Mkuu wa kaya tafakari upya bila hivyo tunaelekea shimoni.
Unawezaje kupandisha uchumi wakati ushauriki? Huna mission, vision ya kuongoza.
 
Sina mengi lakini nasema hivi kushindwa kupandisha uchumi wa nchi na kuuwa kabisa imetokana na mawazo yenu ya kutaka kuongoza nchi kwa kutumia kodi za boda boda na faini za barabarani.

Mkuu wa kaya tafakari upya bila hivyo tunaelekea shimoni.
Sina million 7 ngoja tuu nsome comments za watu
 
Tatizo hizo kodi zinanikera zinapoenda kutumika kwenye matumizi ya kukimbizia mwenge,wakati hizo mbio ukifatilia mahali unapokesha mwenge na maambukizi ya magonjwa tofauti tofauti uzidi kuenezwa kwenye hiyo mikesha ya mbio za mwenge.
[HASHTAG]#ben[/HASHTAG] sanane yuko wapi?
 
Hii awamu kama wewe ni polisi,hakimu,jaji ama wakili,usipojenga basi una gundu
 
Hii awamu kama wewe ni polisi,hakimu,jaji ama wakili,usipojenga basi una gundu
 
walete tu, tena ikiwezekan hata ya kichwa!
Wadau kuna kitu hapa tunachanganya.ni kweli kesi za barabarani zinauma sana hasa ukizingatia upo katika harakati ya kutafuta pesa unapigwa faini .nadhani wangekuwa na utaratibu wa kuonya kwa mdomo,maandishi.kuelimisha na mwisho faini.siyo kika mtu anatenda kosa kwa kudhamiria.ila tuelewe wanachotoza trafiki ni faini za makosa mbali mbali,na wanachotoza TRA ni kodi ambazo hutozwa ama kwa uwekezaji,biashara ama ajira.sidhani kwa mtazamo wangu kama hizi za trafiki zinahusiana na kodi ambao TRA ndiyo wakusanya kodi.Ni kama mahakamani utasikia lioa faini, ni utaratibu tu wa adhabu.ndiyo maana utasikia hata hawa wajamaa TRA wanakulipisha na wao faini ambayo kwao inakuwa chanzo cha kodi tofauti na taasisi zingine .ila kiukweli faini inaumiza mno du mpaka hata kutumia chombo chaoto unaona kero mara liseni,mara stika haa haa spidi na kadarubini kso
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sina mengi lakini nasema hivi kushindwa kupandisha uchumi wa nchi na kuuwa kabisa imetokana na mawazo yenu ya kutaka kuongoza nchi kwa kutumia kodi za boda boda na faini za barabarani.

Mkuu wa kaya tafakari upya bila hivyo tunaelekea shimoni.
Alinishika askari nikiwa nimepakiki pikipiki,nikamwambia VIP,ohhhoo jpm anatulazimisha tukamate ,nikampa elfu kumi akasepa,nchi imemshinda
 
  • Thanks
Reactions: BAK
M, kutokana na uchumi kuyumba. Mimi mtakatifu tumeamua kuongeza wigo wa mapato.
1. Kodi ya kichwa ambayo ikifutwa
2. Kodi ya baiskeli
3. Kodi ya kuisha/ kuingia mjini
4. Kodi ya kushangilia hovyo.

Ndugu wadanganyika kazi hii ni ngumu kweri kweri. Msema uongo ni mpenzi wa shetani. Mniombee

" ikiwa shetani ni adui wa watu wa Mungu. Na yeye anataka wat waishi kama mashetani. Maana yake mungu wake ni shetani hivyo anatafuta wafuasi wengi. Huwezi kumtumainia Mungu mpenda amani na upendo huku unamdhihaki mwanadamu mwenzako
 
Back
Top Bottom