Mnataka haki sawa serikalini/ajira wakati haya ndo matokeo yenu

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,418
Ishakuwa kama jadi ndg zetu kushika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne na cha sita

Angalia mwaka huu top ten ya shule zilizofanya vibaya Unguja imeingiza shule 8

Sasa kama ndo matokeo yenu hayo nafasi mnazotaka mpewe ni kwa elimu ipi? Ya kuwa wa mwisho darasani au ya madrasa?

1468609278950.jpg
 
Zanzibar ni mzigo Kwa Tanganyika ingawa viongozi wajanja wanavuna pesa nyingi kupitia Wizara ya muungano zile pesa za kumaliza kero zinaliwa na wajanja huku kero hazimaliziki pia pesa ya kutoka Hazina kwenda Serikali ya Zanzibar ina pancha nyingi ya kuvujisha pesa napo wajanja wanafaidi na hao ndiyo wanaung'anga'ania muungano Kwa kuwa inawanufaisha binafsi, muungano wa sasa kiuharisia ni hasara Kwa Tanganyika kutokana na Zanzibar kulundika Utitiri wa Watumishi na wabunge wanaolipwa mishahara na Tanganyika katika visiwa vidogo , pesa inayotumika kuilea, kuilinda Zanzibar ni kubwa kuliko pato linalopatikana Zanzibar hivyo Tanganyika Kwa sasa ni buzz inachunwa pasipo kujitambua .
 
ku panic vip tusubiri waje humu wazanzibar tuone maoni yao
hawaji waleshalala si unajua wengi kule unguja ni washinda vibalazani hawafanyi kazi , mda mwingi ni kulalamika na chuma ulete pesa za Tanganyika, hata wakija watakuja na matusi tu.
 
hawaji waleshalala si unajua wengi kule unguja ni washinda vibalazani hawafanyi kazi , mda mwingi ni kulalamika na chuma ulete pesa za Tanganyika, hata wakija watakuja na matusi tu.
hahaha noma kweli kweli ni aibu hii la sivyo wabadilike
 
Wanajua kuleteana sukari tu huku bara, wabaguzi sana hawa watu ndio maana watamalizana wenyewe kwa wenyewe kwa dhambi hiyo ya ubaguzi.
 
hawaji waleshalala si unajua wengi kule unguja ni washinda vibalazani hawafanyi kazi , mda mwingi ni kulalamika na chuma ulete pesa za Tanganyika, hata wakija watakuja na matusi tu.
Tizama na cream yao ina rank vipi country-wise.
 
Attachments

  • IMG-20160715-WA0002.jpg
    IMG-20160715-WA0002.jpg
    122.9 KB · Views: 37
Back
Top Bottom