Mnasumbua nyie watu mnaotumia namba mpya kutuchezea akili zetu,!

katokumbi

Senior Member
May 19, 2012
195
76
Haka katabia sio kameanza leo tu, kameanza mda sana mimi nahisi sio mtu, ni kundi la watu wasio na kazi kutusumbua akili zetu! Nilipigiwa simu juzi na namba nisiyoelewa na kuniambia karibu katika ulimwengu wa freemason kwa sauti nisizoelewa, sasa haka katabia tcra inabidi muwe makini sana
 
Mkuu hiyo heading naona 'ban' inanukia, jiwahi kwa mods wasikulime.

Pia ujapo jukwaani punguza munkari.
 
Sasa umeambiwa wapo humu? Ama?
Ok ok,nyie mnaopigia watu simu na number zisizoeleweka kisha mwajiita Freemason muache mara moja!mmesikia?
 
Nilitumiwe sms last wiki kuwa namba flani nisizipokee na za freemasons na wanatoa watu kafara wakisikia sauti yako! ss sijui linaendana na thread?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom