katokumbi
Senior Member
- May 19, 2012
- 195
- 76
Haka katabia sio kameanza leo tu, kameanza mda sana mimi nahisi sio mtu, ni kundi la watu wasio na kazi kutusumbua akili zetu! Nilipigiwa simu juzi na namba nisiyoelewa na kuniambia karibu katika ulimwengu wa freemason kwa sauti nisizoelewa, sasa haka katabia tcra inabidi muwe makini sana