Mnashusha ushuru wa betting na pombe mnaongeza ushuru wa mafuta!

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
819
1,320
Mnataka baba zetu waendelee kubet sio? Wahamie kabisa na mashuka na magodoro?

Hii nchi hii yaani kuna mtu yuko bungeni kimkakati kuhakikisha betting hata inafutiwa ushuru, mwingine yeye ahakikishe pombeee pombeee zinakaa pazuri shida za wananchi na kero zao acha wafie mbali.

Aiseee we are finished

D17101E2-9D4A-4C25-909B-E0E63F5714B2.jpeg
 
Nimeshafahamu sasa kwamba watu wanapigania kwenda bungeni, kaisi cha kuondoana uhai, wengi wao ni kwa malengo binafsi. Kulinda malahi yao, kuinfluence na kuhakikisha wananufaika na si kutatua wala kulinda maslahi ya taifa ama watu wasiowahusu.

BUNGE=PBC (Private Business Company). Otherwise, hayo mengine ni historia, wewe omba Mungu alinde familia yako wapate mkate wa kula, lakini hakuna wawakilishi wala watetezi wa watu wa kawaida kule.
 
Hizo ndizo akili za Waziri wetu Msomi Mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba 😁😁
You don't know what Mheshimiwa Waziri Mwigulu Nchemba might be going through. Ninapata tabu kuondoa picha kichwani mwangu kwamba anazungukwa na syndicate ya watu selfish, wasiojali maslahi ya umma, forgerers, wasiokuwa na mioyo hata chembe, licha ya utu, kutokana na colusion ya wizi wa mabilioni kwa uchache aliyoyasema waziri Mkuu, wakati huo huo serikali ikijua haina fedha. Mfumo alioukuta pale wizarani, anahitaji kuujifunza a uelewe ili afanye mabadiliko sahihi, vinginevyo ipo kazi.
 
Nimeshafahamu sasa kwamba watu wanapigania kwenda bungeni, kaisi cha kuondoana uhai, wengi wao ni kwa malengo binafsi. Kulinda malahi yao, kuinfluence na kuhakikisha wananufaika na si kutatua wala kulinda maslahi ya taifa ama watu wasiowahusu.

BUNGE=PBC (Private Business Company). Otherwise, hayo mengine ni historia, wewe omba Mungu alinde familia yako wapate mkate wa kula, lakini hakuna wawakilishi wala watetezi wa watu wa kawaida kule.
Umeongea vyema mwana wane kweli angalia wa nyumbani kwako hatuna watu pale
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom