Elections 2010 Mnasemaje kuhusu hizi ahadi?

EDOARDO

Senior Member
Oct 4, 2010
115
13
Waungwana bila shaka mko poa.
Kadri siku zinavyoyoyoma na kampeni kuendelea, baadhi ya wagombea wanatoa ahadi ambazo ukiziangalia kwa akili ya haraka tu unaona wazi kuwa ni uongo, na hazitekelezeki. Wanaodanganyika na kushangilia ni kwamba wamelogwa au hizo kofia na T-shirt? Naomba maoni yenu wadau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom