Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
- Thread starter
- #21
kweli huelewi usemalo,hapa ninalujibu mada iliyo nje ya thread km ulivyoleta.Na mada yangu si kukuconvice wewe, ila ni kuacha watu wai discuss.UNACHOONGEA KINAONYESHA UMEPOTEA NJIA<AU NI WALE WALIOMEZESHWA VITU SASA WANABWATUKA KILA MAHALI VINAPOKATAA WANAANZA PANDISHA HASIRABado huja ni convince kuwa mtu mweusi ni rahisi kushawishika!
Toka katika hiyo defensive corner uliyowekwa kutokana na kauli zako mwenyewe uje utetee hoja yako kuwa watu weusi ni rahisi kushawishika.