Mnasemaje juu ya kikosi hiki Chekundu??? kijani kula bao ama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnasemaje juu ya kikosi hiki Chekundu??? kijani kula bao ama?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Anyisile Obheli, Nov 16, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kikosi.jpg
   
 2. m

  mshali Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda,chekundu kama wa chezaji wake hawatakuwa na uchoyo wa pasi,inaviungo wakutisha na striker wa ukweli.
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nima mashaka beki ya hicho cha kijani gilie wa kike!!!!
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kuna mmoja kwenye nyekundu ninamtilia shaka kama atamaliza dakika 90
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu inabidi uwe makini unavyoweka picha. Kama ukiclick kwenye hiyo picha, inakupeleka facebook. Then ukilog kwenye account yako ya facebook unajua kabisa picha imetoka kwa nani. Kwa vile hapa tunatumia usernames and facebook tunatumia our real names, hii haijakaa vizuri. Mods please.... we dont want someone get into trouble.
   
 6. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  sasa wewe unataka kucklic kwani umeambia ina play au imetoka youtubu hiyo?
  huko ni kuhangaika kwako tu mkuu
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Sawa kaka iache hapo.
   
 8. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wapi, mbona unaonekana mshari sana?? mkuu
  mi sipo kwa maslahi hayo kwa bahati mbaya
   
 9. Jobjob2

  Jobjob2 Member

  #9
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 8, 2006
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu emt ungefanya busara ya kumtonya mwenyewe kwenye fb kuliko kuelezea the trick, people might take it up
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kweli mkuu
  harafu mtu unaweza kuwa na ustaarabu tu but siyo lazima uweke peupe njia za kufanya ili uonekane ni mtundu wa kuchezea
  mouse hata mambo yasiyo na faida
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Hicho Kikosi cha kijani Always ndio Washindi wa hiyo Mechi ya ligi kuu hao tunaweza kusema kama ni Klabu basi hicho Kikosi cha kijani Kitakuwa ni Klabu ya Yanga na hicho chekundu kama ni Klabu itakuwa ni ya Simba. Sasa kati ya Simba na Yanga siku zote Mshindi anakuwa ni Yanga
   
 12. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  safi kwa tathmini zako lakini hapo kwenye blue kidogo matumizi ya lugha
  yanaonsha umedanganya, kweli siku zoote yanga ndiyo mshindi ama unanogesha baraza ha haa haaaa
   
 13. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hahhaaaa wanazi wa jangwani bana! mamboyote mnyama kaka,,,,,,,tatizo kijani kushinda mpaka mchakachue
   
 14. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hilo nalo neno!!
   
 15. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #15
  Nov 17, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 581
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kijana ebu kachukue tuition yakutumia kimeochakom upya cos mie sijaona tatizo lolote ktk hii picha cos inafunguka vizuri 2, au kimeo chako hakina flash player..!!

   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu niliwafahamisha Mods labda wamesort out. But before ilikuwa ukibofya kwenye picha ili kui-expand inakupeleka facebook.
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu ningemtonyaje facebook wakati sina uhakika kama hiyo account ya facebook yenye hiyo picha ni yake? Who knows kama alikopi hiyo picha kwenye account ya mtu mwingine? Hapo hukufiria hata privacy yangu ya kumtaarifu huko facebook. Nilifanya busara kwa kumtaarifu hapa lakini yeye akaanza rojorojo.

  Pia nilimtaarifu hapa ili na wengine wajifunze. Nishakutana na posts hasa picha hapa JF zikilink na accounts za facebook. Watu badala ya ku-copy picha yenyewe wana-copy url ya picha halafu wanakuja kupaste hapa. Matokeo yake ukiclick kwenye picha inakupeleka mojakwa moja kwenye account ya mtu facebook. Ukiwaeleza waliopost wanaignore probably because walikopi kwenye accounts ambazo sio zao. Matokeo yake mwenye hiyo account facebook anaweza kuwa linked kimakosa na mtu aliyeweka hiyo picha hapa. Hata kama ni account yako mwenyewe sindani kama ungependa iwe linked unless you want so.

  Sio mnahamisha hamisha tuu vitu toka accounts zenu au za watu wengine facebook bila uangalifu halafu mkiambiwa mna-complain. Baada ya mkuu kuleta rojorojo ilikabidi niwajulishe Mods kwa sababu ya privacy issues. Naona kama Mods wameshasort out au aliweka picha amerekebisha mambo baada ya kurealise alichokifanya.
   
 18. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #18
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani wakuu punguzeni jazba. Mkuu emt alifanya busara kutuarifu kuhusu swala hili nasi tuka lirekebisha. Ni kweli kwamba siyo busara kulink vitu humu ndani na personal account za watu labda iwe ya kwako na upo tayari kuji dhihirisha kwa watu kuwa wewe ni fulani. Tume rekebisha hili swala kwa kuona kwamba mtu anaweza kufanya hivyo bahati mbaya bila kujua. Kwa hiyo asante mkuu emt na I hope hauta kwazike kuendelea kutusaidia.
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kijani haina kapteni kaaaaaazi kweli kweli
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  ...............nahisi ni huyo mwenye kofia.
   
Loading...