Mnapotengana mnawapa mzigo mzito watoto sio tu wakiwa wadogo bali hata wakiwa watu wazima

Kama ujamaliza ujana usiingilie kwenye ndoa,ndoa inahitaji kifua, maturity uwezo wa kuhimili mapungufu ya mwenzio aliyepewa malezi tofauti nawe.
 
Back
Top Bottom