Wanawake wengi ubomoa ndoa zao kwa midomo yao.
Wao ndio chanzo cha uasherati yaani mume kuchepuka, upungufu wa nguvu za kiume yaani mume akiwa ndani nguvu hamna akienda nje zipo yote chanzo ni mdomo, kauli chafu, maneno machafu yote haya wanaiga kwenye tathmilia na lengo kuu la tamthilia ni kubomoa ndoa ajenda ya siri.
Upo sahihiIsingefaa watu watengane wanaoumia ni watoto hata kama ni wakubwa Wana miji yao. Muunganiko wa familia unayo baraka na kuna nguvu fulani ya kiroho toka juu, mkitengana mnatengana pia na ile nguvu toka juu. Ingekuwa ni vyema watu waishi pamoja hata kifo sema tu ndo hivyo mitihani isiyovumilika na wengi hawana elimu kuhusu Roho. Roho ndio uongoza KILA kitu ukiitibu roho suala la talaka ni ndoto.
Utafute ufumbuzi kwenye tabia ya mtu mliyefahamiana ukubwani tu ?...tabia ni ngozi huibadiliKwanini Mwanaume asitafute ufumbuzi wa huo mdomo wa mkewe ili ajifunze kuwa na kauli njema na adabu kwa mumewe kwa kutafuta ufumbuzi?
Wanawake wengi ubomoa ndoa zao kwa midomo yao.
Wao ndio chanzo cha uasherati yaani mume kuchepuka, upungufu wa nguvu za kiume yaani mume akiwa ndani nguvu hamna akienda nje zipo yote chanzo ni mdomo, kauli chafu, maneno machafu yote haya wanaiga kwenye tathmilia na lengo kuu la tamthilia ni kubomoa ndoa ajenda ya siri.
Point kubwa ya uzi wako nimeiona hapo tu.Kwema Wakuu!
Wanaosema Ndoa haina umuhimu wengi wao ni kutokana na kukata tamaa na kuanguka katika kizazi Chao. Kumbuka watoto wako ni copy yako wewe (yaani toleo lako jipya) watoto wako ni kivuli chako kila unachokifanya nao watakufanyia.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Point kubwa ya uzi wako nimeiona hapo tu.
Ni kweli Mtoto wa Nyoka ni Nyoka. Wazazi mkiwa waadilifu na watoto wenu watakuwa kama nyinyi.
Mzazi mlevi ni rahisi kuja kuzaa mtoto chapombe, Mzazi ukiwa Malaya utatoa copy kama yako. Wazazi mnapoachana ni rahisi hata watoto wenu nao wakija kuolewa/ kuoa nao ndoa zao hazitadumu
Huu ni mzigo mzito sana sana sana, ambao wengi wanaupitia kutokana na utengano wa wazazi
Hakuna anayejua kuwa mwanamke aliyenaye atabaki kuwa na tabia zake zile zile zilizomvutia kabla,baadhi ya tabia zinabadilika na utakuta muovu anakuwa mwema Kwa kubadili tabia lakini hata mwema anakuwa muovu Kwa kubadili tabia. Sasa endelea kujidanganya kuwa umempata anayeendana na wewe.Mwisho nimesema chagua wakufanana naye
Hakuna anayejua kuwa mwanamke aliyenaye atabaki kuwa na tabia zake zile zile zilizomvutia kabla,baadhi ya tabia zinabadilika na utakuta muovu anakuwa mwema Kwa kubadili tabia lakini hata mwema anakuwa muovu Kwa kubadili tabia. Sasa endelea kujidanganya kuwa umempata anayeendana na wewe.
Hizo 90% umezipataje?90% tabia zinarithiwa kutoka Kwa wazazi au ukoo.
Vipi useme hakuna anayejua?
Jinsi unavyomuona Mama Mkwe au Bibi Mkwe ndivyo mtoto wake alivyo Kwa 90%
Mauaji mengi yatokanayo na mapenzi na ulemavu wa kudumu ni sababu ya ujinga wa kuhofia talaka.
Talaka inaepusha madhara mengi sana kuliko kung’ang’ania kuishi na adui ndani ya Nyumba moja!
Inakuwa ni rahisi kukumaliza.
Hizo 90% umezipataje?