Mnaposema Serikali ya CCM mnamaanisha Serikali ni mali ya CCM au mali ya umma?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Sio suala geni kuanzia kwa mwenyekiti wa CCM hadi mwenyekiti wa mtaa wa CCM, na vyombo vyote husema hii Serikali ni ya CCM, naomba kufahamu Serikali ni mali ya kikundi cha CCM au mali ya umma?

1.Mara Serikali yangu
2. Mara mkoa wangu wa Dar
 
Sio swala geni kuanzia kwa mwenyekiti wa ccm hadi mwenyekiti wa mtaa wa ccm, na vyombo vyote husema hii serikali ni ya ccm, naomba kufahamu serikali ni mali ya kikundi cha ccm au mali ya umma?
Uwezo tu Wa kuelewa mambo mkuu.hakuna kitu kinaitwa serikali ya ccm wala ya magufuli,Serikali niya wananchi Wa Tanzania ila ccm iliomba kuiongoza
 
Nataka waje wakane maana malaika mkuu aliposema TLS ni mali ya umma nimewakumbusha na hili
 
Sio swala geni kuanzia kwa mwenyekiti wa ccm hadi mwenyekiti wa mtaa wa ccm, na vyombo vyote husema hii serikali ni ya ccm, naomba kufahamu serikali ni mali ya kikundi cha ccm au mali ya umma?
Dah, mmeshatengenezewa topic ya kujadili kama kawaida, JPM noma sana.
 
Wapuuzi tu.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
 
Sio swala geni kuanzia kwa mwenyekiti wa ccm hadi mwenyekiti wa mtaa wa ccm, na vyombo vyote husema hii serikali ni ya ccm, naomba kufahamu serikali ni mali ya kikundi cha ccm au mali ya umma?
Walianza kujimilikisha mkoa wa dar MTU anasema katika mkoa wangu wa dar
 
Sio suala geni kuanzia kwa mwenyekiti wa CCM hadi mwenyekiti wa mtaa wa CCM, na vyombo vyote husema hii Serikali ni ya CCM, naomba kufahamu Serikali ni mali ya kikundi cha CCM au mali ya umma?

1.Mara Serikali yangu
2. Mara mkoa wangu wa Dar
Umesahau ongezea na wanaccm na viongozi wa serikali wanasema serikali ya Magufuli
 
Sio suala geni kuanzia kwa mwenyekiti wa CCM hadi mwenyekiti wa mtaa wa CCM, na vyombo vyote husema hii Serikali ni ya CCM, naomba kufahamu Serikali ni mali ya kikundi cha CCM au mali ya umma?

1.Mara Serikali yangu
2. Mara mkoa wangu wa Dar

Mali ya Umma, lkn chadema siyo sehemu ya Umma!
 
Back
Top Bottom