Mnapokuja Moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnapokuja Moshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Apr 21, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wadau muelewe kuwa Moshi sio Dar, kwamba utatupa taka ovyo tu. Ukiwa Moshi beba taka yako hadi uone sehem ya taka, la sivyo andaa elf 50. Almanusura initoke baada ya kunywa maji hapo stand na kuweka (si kutupa) chupa chini hapo hapo dukani. Namaliza manunuzi mengine ile kuondoka naitwa na askari wa manispaa aliyekuwa kaishika ile chupa. Nikajenga hoja kidogo, nikatetewa na wenye duka na 50 yangu ikapona. Nimeambiwa hawakopeshi
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,797
  Trophy Points: 280
  safi sana , na hii ndoa dawa nadahani badae wote tutabadilika , dsm unaweza hata kunya njiani(joke)
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wala siyo joke; waungwana watakuangalia kisha wataziba pua na kusepa zao wakikuacha ukimaliza shughuli yako!
   
 4. A

  Ame JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Sure mji wa Moshi unanifurahisha sana aise wachaga walivyo wajasiria mali hivi naweza pata sehemu nikajenga hapo Moshi maana I would want in my old age days to live kwenye mazingira masafi na tulivu kama Moshi mjini hasa pale Shant town ama kule KCMC mwenye a plot or house for sale anisaidie!
   
 5. duda

  duda Senior Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa Bongo system hii ikianza Manispaa itajizolea mipesa ya kumwaga, inaudhi kwakweli, yn uko kwenye daladala mtu anakunywa maji then anairusha ile chupa nje, tena bila hata aibu.
   
 6. c

  chaArusha Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Hata hapa Dar utaratibu huo upo, lakini unafanywa kinyume. Unafanywa na askari Polisi (siyo mgambo wa jiji) usiku, wakikukamata wanakulipisha fedha wanaweka mfukoni. Sheria ndogo ndogo za Manispaa zinasema kutupa taka, kunya na usambazaji wa uchafu mdogo mdogo mitaani faini yake ni shilingi elfu kumi (10,000) tu, siyo elfu 50.
  Lakini tofauti na Moshi, hapa Dar fedha hizo hata zikikusanywa na Manispaa, hazifanyi kazi ya kusafisha jiji, ila watu wanagawana mapato kila baada ya kazi. Fedha za malipo ya faini zingeweza kuweka mapipa mengi ya uchafu barabarani kwa ajili ya watu kutupa vitu kama mifuko ya plastiki na makopo ya maji
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ajabu ni kuwa Arusha Jirani tu, Kwenye halmashauri yenye pesa nyingi ajabu, uwezo mkubwa wakuziongeza, lakini hali ni kinyume kabisa.
  Inashanaza sana!!!
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Stendi ya mabasi ya daladala ya ubungo karibu na ofisi za tanesco, nao wameanza, mchana wa leo nimeshuhudia dada mmoja akishushwa kwenye daladala baada ya kutupa maganda ya machungwa chini, na kupewa ufangio afangie uchafu wake na kuwekewa kwenye mfuko wake aliokuwa ameuchukua.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,797
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli basi this is a good move
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,139
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Good !
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mh Lukuvi alipokuwa RC wa DSM nadhani alipeleka watendaji wa Jiji Moshi kujifunza sijui walirudi huko na utekelezaji gani. Au ulikuwa ni mpango wa kuwapeleka lakini hawakwenda?
  Kama linawezekana Moshi kwanini lisiwezekane kwingine?
   
 12. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Uzuri ni kwanba usafi unaendana na type ya watu kama ni wasafi na mji nao unakuw msafi kwa kweli napenda ni msifu mzee mengi kwa juhudi zake ni mji wa pili kwa usafi ukiondoa joberg a. Kusini
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  si bora chupa mkuu ambayo mjasiriamali ataokota? Mtu anatupa gunzi, maganda halafu anasema, 'tusipotupa taka si watakosa ajira?'
   
 14. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sidhani kama joberg inaongoza kwa usafi katika miji ya africa, no way hillbrow
   
 15. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Usafi ni desturi, ukiwa na desturi hiyo hutaiacha.
   
Loading...