Mnapoibuka watu wa kumsafisha na kumtetea Ole Sabaya hamuoni aibu? Tuhuma za utapeli zimeanza leo?

kwahiyo ni kweli mfanyabiashara alikuwa akitoa rushwa kwanini alkuwa anatoa rushwa!!!!
 
CCM kama Chama dola wana nafasi nyingi sana za kuwaweka vijana wao,Lakini tatizo Vijana wengi wa CCM ni misfit .This Guy Sabaya is Stupid & quite disgusting

Misfits and hoodlums waliotafutwa kwa umakini mkubwa kwa akili ya kazi chafu ya kuua ushindani wa kisiasa katika maeneo korofi!
 
Back
Top Bottom