Mnaoweka vioo vyeusi "TINTED" Kwenye Magari yenu huwa mnajificha nini?

King_Villa

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
575
378
Ndugu zangu habarini!

Hivi staili ya kuweka vioo vyeusi au tinted huwa inaashiria nini !
Unakuta mtu Yuko Kwenye VX V8 afu kaweka tinted ukiangalia ndani unabaki kujiona mwenyewe ...sasa huwa najiuliza Mali umetafuta kwa jasho lako mwenyewe iweje ujifiche au unaona aibu gani watu wakikuona na kujifunza kupitia Wewe..

Bad enough ni pale ninapokuta mpaka wamiliki wa passo wameweka vioo vyeusi inauma sana

Ila sijui maana labda wapendwa mnaweza nifungukia nami nijue
 
Sawa...staili hiyo huku uswahili kwetu unaonekana mbinafsi na ukipata shida hausaidiw
asew saw,ila ipo sababu ya watu kelewa na sio kukariri..maana yake mtu wa aina hyo kumbe ni mbinafsi kwa upande wa Kiswaz..ok,ila kuna wengine wana tinted na ni washkaji wa mtaa tunagonga tano fresh tuu.
But yote kwa yote inategemeana na eneo na jinsi mtu wa namna hii ana mahusiano gan na jamii.

NAWASILISHA
 
Eti Inauma sana, seriously bro?!

Una matatizo kwenye medula si bure. Gari sio lako lakini roho inakuuma, why, unataka uchungulie nini huko ndani.

Tinted ni passion ya mtu, and for me I prefer FULL NTITED.
 
asew saw,ila ipo sababu ya watu kelewa na sio kukariri..maana yake mtu wa aina hyo kumbe ni mbinafsi kwa upande wa Kiswaz..ok,ila kuna wengine wana tinted na ni washkaji wa mtaa tunagonga tano fresh tuu.
But yote kwa yote inategemeana na eneo na jinsi mtu wa namna hii ana mahusiano gan na jamii.

NAWASILISHA
Ndio hvyo aseee
 
Back
Top Bottom