Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 685
- 622
Husiku na kichwa cha habari hapo juu,
Nimekua mteja wa TTCL muda sasa toka nilipoanza kutumia yapata miaka kadhaa. Mabadiliko mengi yakatokea mimi nipo tu. Kwa mabadiliko haya ya gharama za data zao naamini watampoteza mteja mmoja.
TTCL mna threads zenu humu ndani (JF) namna mtaboresha huduma zenu/kuomba maoni mbalimbali kwa wateja wenu. Fanyieni kazi maoni ya wateja wenu.
Asante