Mnaotumia mtandao wa Tigo hili tatizo la internet ni kwangu tu?

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,871
38,489
Natumai hamjambo.

Tangu jana usiku yaani network kwangu ni ya kutafuta kwa tochi. App na website zinaload dakika 5 kufunguka na muda mwingine zinagoma na kusema network error. Nikacheki bundle lipo la kutosha. Pale juu inasoama H+ ila naona mshale wa ku upload tu wa kudownload unatokea mara chache sana.
Hata huu uzi hapa nimepost kwa shida sana.
Screenshot_20200723-134740.png
 
haya maboya kazi kuiga bei za vifurushi voda,wakati huduma zao utumbo wa kobe.


juzi nimetoa hela kimakosa 2500 kwa wakala tofauti,napiga wananiambia niende tigo shop,wakti nauli kwenda na kurudi ni 1200.vijinga sana.

mwenyewe hapa inasoma 4g ila ni kisonono tupu.
 
Back
Top Bottom