Mnaotoa mimba acheni, nawajua-Majaliwa

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
10309676_1019128554818269_5316774059990908999_n.jpg
 
Duuuh!!! Hapa itabidi wadau wengi wafanyiwe vasectomy, maana sensa ya mwakani inaweza ikasoma Watanzania tuko Milioni 80.
 
sio abortion zote ni kosa kuna nyingine ni therapeutic abortion !... nakumbuka we had a patient she was supposed to undergo chemotherapy lakini alikuwa na mimba changa! so ilikuwa ni tiba au tuache mimba iendelee huku cancer ikimtafuna ...!

ila kuna wale wanaotoa mimba vichochoroni wale ni wa kukamatwa ! wengine utakuta wana level za kina Dr. mwezi , au watu wa pharmacy
 
Back
Top Bottom