Mnaotaka nafasi za ubunge kupitia CHADEMA mmeisoma hii?

Hongera Chadema kwa kuonesha njia.

Lakini msiishie kwenye maneno tu fanyeni kivitendo.

Msisahau lakini kwamba mbunge ni mwakilishi wa wananchi lazima akubalike.

Wananchi wakimpenda mganga wa Kienyeji watamtaka huyo huyo ni zaidi ya kukaa ufipa na kuangalia CV na mbwembwe za mtu anayeongea kizungu.
 
Unaposema naenda kugombea sehemu fulani, moyoni mwako umetengeneza picha gani..."mabulungutu" au "kusaidia wananchi"?!
 
Hongereni sana CHADEMA, endeleeni kujiimarisha kiungozi, kimalengo na kisiasa kwa ujumla ili tuendelee kukiamini chama!
 
Kuna watu wana mcheche!! Mmeambiwa mtatangaziwa, mbio za nn, au ndo walewale?? Muda ukifika utaambiwa vigezo ni vp!!
 
Mmmh. Hili kweli linawezekana kwa siasa za Tanzania?.

Nahofia Dr. Slaa na washauri wake wasije wakala matapishi yao ya kisiasa.

Kisiasa kuwaita Wanachama waliotoka vyama vingine na kujiunga na CHADEMA ambao kwa sasa ni viongozi ndani ya CHADEMA kwa jina la MAKAPI ni dharau au ni kuidharaulisha CHADEMA kama taasisi. Hii ina maana kuwa baadhi ya nafasi ndani ya CHADEMA zinashikiliwa na MAKAPI ambayo kwa jina jingine ni uchafu (useless).

Kuna viongozi kwa sasa wengi tu wa Msingi, Tawi, Kata/wadi, Wilaya, Mkoa, Jimbo na Taifa ambao wapo ndani ya CHADEMA kutokana na 'kudandia Meli' kwa sababu mbali mbali wakati ikiondoka kuelekea kwenye chaguzi za ndani na nje.

Siyo wote wanaotoka vyama vingine na kujiunga na CHADEMA ni MAKAPI na pia siyo wote ambao wako CHADEMA na hawakuwahi kujiunga na chama kingine zaidi ya CHADEMA wanaweza wakawa siyo MAKAPI.

Hizi rhetoric inawezekana hapa zisiisaidie CHADEMA huko mbele ya safari ya kisiasa kwa sababu zinawagawa viongozi waliopo kwa sasa katika makundi.



DR. Slaa mwenyewe makapi halikadhali Mbowe, cjui nani ataanza kumnyooshea mwenzio kidole kumwambia kuwa ni kapi wakati mweneywe kapi na bado kadi anayochumbani kwake maajabu ya mwisho wa mwaka haya!!!!
 
Mbona wewe ni kapi pia?si alishindwa kura za maoni CCM ndo akakimbilia CHADEMA?Huyu Slaa vipi?

Hujakosea mkuu kwenye orodha yao yupo lema na TL,jimbo la Hai mbowe ajiandae nakuja kulichukua propaganda ya kudhini nje ya ndoa na kuzaa na Mukya nitatumia nayo pia kwenye kampeni zangu,pia najiandaa na sumu Guard Atakazo attemp kuniwekea
 
Kinajiita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

*Demokrasia ina maana Chama husika kutoa fursa kwa Wanachama kuchagua na kuchaguliwa.
*Demokrasia ina maana watu wawe na uhuru wa kutoa maoni na kusikilizwa.
*Demokrasia ina maana kuwepo na uwazi wa kutosha juu ya shughuli za uendeshaji Chama.
*Demokrasia inahimiza uvumilivu miongoni mwa Wanachama.
*Demokrasia inahimiza falsa ya wengi wape hata Viongozi wa Chadema hupenda pia kutumia falsa ifananayo na hiyo ya 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu'.
*Demokrasia ni nzuri kwakuwa huboresha mitizamo na misimamo ya Chama husika,Huzuia uwezekano wa kuwepo Watawala madikteta,Huwapa nafasi Watu ya kuondokana na Viongozi wasiowataka kupitia term limits,Hutoa fursa kwa watu kutoka katika matabaka yote ya kimaisha kutimiza ndoto zao za kimafanikio ziwe za kisiasa au za kiuchumi since democracy equals to free people as well free market.

Sasa ebu tujaribu kujiuliza kwa tabia hizi zinazoonyeshwa na hawa Viongozi wa Chadema Je ni kweli wao ni Waumini wa Demokrasia?Kweli?

Akili ya maiti
 
Kwenye rasimu mpya ya katiba,wabunge watakuwa 70 tu huku bara,wabunge wawili mmoja mtu mume na wa pili mtu mke.Sasa kama kuna paper wale tuliokimbia shule sijui kama tutatoboa.
 
Tatizo hatujaelewa maana ya MAKAPI! Ni wale ambao ni macho kumchuzi, yaani wanaojali maslahi binafsi! Hao hawatapkelewa!
 
Akili ya maiti

You stoop so low!I can't lower myself to your level of thinking because the ancestors have this popular warning 'Don't ever compete with a FOOL because he/she will likely drag you down to his/her level of thinking and beat with experience'.Is that what you want to do to me you DUMMY?
 
Akili ya maiti

You stoop so low you NUTJOB!I can't lower myself to your level of thinking because the ancestors have this popular warning which says 'Don't ever compete with a FOOL because he/she will likely drag you down to his/her level of thinking and beat you with experience'.Is that what you want to do to me you DUMMY?
 
sasa hapo zito kabwe anahusika nn au liingia chadema kwa kumufuata ztto au huna cha kuandika mpaka zittto aseme je umetumwa na nani kumchafua zzto mada inahusu kitu kingine we unakuja na usenge w
ako
 
Ametangaza nia hiyo alipokuwa akihutubia maelfu ya wakazi wa Nachingwea ambayo yaliuzuliwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho na wamefanikiwa kuvina wanachama wapya 40.
 
sahau hata labda unataka upigwe mawe hata kama wamupeleke mbowe pale zitto hatoki hata wakiweka kivuli cha zitto na dr slaa kivuli cha zitto kinapita sembuse wewe au umetumwa
 
Lazima apewe mtihani akifaulu ndipo ataingia kwenye chujio la wanachadema kama anafaa kuwawakilisha.
 
Mwita wa Musoma anatangaza nia ya kugombea ubunge Geita akiwa Nachingwea!
 
Back
Top Bottom