Mnaotaka kuondoka CHADEMA ondekeni sio lazima utoe sababu ya kuondoka kwako

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Wadau nimekuwa nawafuatilia wanaohama kutoka CHADEMA na sababu wanazozitoa. Binafsi siona kama kuna ulazimu wa kutoa sababu ya kuondoka kwao mbona wakati wanajiunga hawakuviita vyombo vya habari na kuvieleza kwa nini wanajiunga na Chadema,?

Sidhani kama kuna mtu atawawazuia kuondoka mpaka watoe sababu. Kwa wanaotaka kuondoka waondoke haraka Chadema wajipange upya kwani wapenda mabadiliko ni wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu lazima zitolewe ili tujue nini kimewakimbiza kutoka huko, watanzania wanahitaji kujua yanayoendelea kwenye vyama vya upinzani ili wasirudie makosa ya miaka ya nyuma.

Hali inaonesha mwaka huu wananchi watapiga kura wakiwa na uelewa mpana zaidi ya yaliyopo, yanayoendelea na yaliyofanywa na upinzani na hiyo itakuwa kura ya maamuzi magumu ya kuuondosha upinzani bila gharama yeyote Kama wapinzani wanavyojinasibu
 
Wadau nimekuwa nawafuatilia wanaohama kutoka Chadema na sababu wanazozitoa.Binafsi siona kama kuna ulazimu wa kutoa sababu ya kuondoka kwao mbona wakati wanajiunga hawakuviita vyombo vya habari na kuvieleza kwa nini wanajiunga na Chadema,? Sidhani kama kuna mtu atawawazuia kuondoka mpaka watoe sababu.Shime kwa wanaotaka kuondoka waondoke haraka Chadema wajipange upya kwani wapenda mabadiliko ni wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haitanoga!
 
Sababu ni muhimu sana kutolewa

Watasema wamenunuliwa

Every man gotta right to decide his own destiny
And in this judgment there is no partiality
So arm in arms, with arms
 
Wadau nimekuwa nawafuatilia wanaohama kutoka Chadema na sababu wanazozitoa.Binafsi siona kama kuna ulazimu wa kutoa sababu ya kuondoka kwao mbona wakati wanajiunga hawakuviita vyombo vya habari na kuvieleza kwa nini wanajiunga na Chadema,? Sidhani kama kuna mtu atawawazuia kuondoka mpaka watoe sababu.Shime kwa wanaotaka kuondoka waondoke haraka Chadema wajipange upya kwani wapenda mabadiliko ni wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hasira zote za nini Mdau? Na hali inavyoelekea kuna uwezekano huko mbeleni Wote wakaihama CHADEMA na akabakia tu Mwenyekiti wenu Taifa. Mimi nadhani Hasira zako hizi nyingi ungezielekeza kwa Mwenyekiti wako Taifa kwani sasa ni dhahiri kuwa ana matatizo makubwa ndani ya Utawala wake lakini kuna Fukuto Kubwa ndani ya CHADEMA ila linazimwa kwa Kutengeneza Propaganda mbaya ( mbovu ) dhidi ya Chama Tawala cha CCM ili Kuwazubaisha wana CHADEMA wasihoji Mapungufu ya Kiutawala na Kiutendaji unaopelekea kila Kukicha ( Uchao ) Wanachama muhimu na waliokuwa Waandamizi kabisa Kutimka ( Kuhama ) kabisa.
 
Msiwazibe midomo acheni waseme, waache watupe picha halisi nini kinaendelea ndani ya nyumba.
 
Wadau nimekuwa nawafuatilia wanaohama kutoka Chadema na sababu wanazozitoa.Binafsi siona kama kuna ulazimu wa kutoa sababu ya kuondoka kwao mbona wakati wanajiunga hawakuviita vyombo vya habari na kuvieleza kwa nini wanajiunga na Chadema,? Sidhani kama kuna mtu atawawazuia kuondoka mpaka watoe sababu.Shime kwa wanaotaka kuondoka waondoke haraka Chadema wajipange upya kwani wapenda mabadiliko ni wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mkakati wa kijinga sana unaosukwa na "taasisi" inayoitumikia CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasira zote za nini Mdau? Na hali inavyoelekea kuna uwezekano huko mbeleni Wote wakaihama CHADEMA na akabakia tu Mwenyekiti wenu Taifa. Mimi nadhani Hasira zako hizi nyingi ungezielekeza kwa Mwenyekiti wako Taifa kwani sasa ni dhahiri kuwa ana matatizo makubwa ndani ya Utawala wake lakini kuna Fukuto Kubwa ndani ya CHADEMA ila linazimwa kwa Kutengeneza Propaganda mbaya ( mbovu ) dhidi ya Chama Tawala cha CCM ili Kuwazubaisha wana CHADEMA wasihoji Mapungufu ya Kiutawala na Kiutendaji unaopelekea kila Kukicha ( Uchao ) Wanachama muhimu na waliokuwa Waandamizi kabisa Kutimka ( Kuhama ) kabisa.
Kinana,Membe na Makamba wanateseka nini? Wamekosa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida tunawauliza sisi wa nje.
Wadau nimekuwa nawafuatilia wanaohama kutoka Chadema na sababu wanazozitoa.Binafsi siona kama kuna ulazimu wa kutoa sababu ya kuondoka kwao mbona wakati wanajiunga hawakuviita vyombo vya habari na kuvieleza kwa nini wanajiunga na Chadema,? Sidhani kama kuna mtu atawawazuia kuondoka mpaka watoe sababu.Shime kwa wanaotaka kuondoka waondoke haraka Chadema wajipange upya kwani wapenda mabadiliko ni wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wakisema Chadema Wachawi Tutajiunga na Chadema sababu zao za kuambiwa eti semeni Chadema hakuna Demokrasia hazina Mashiko mbona kuna Kada fulani katangaza nia ya kugombea kaitwa Dodoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu lazima zitolewe ili tujue nini kimewakimbiza kutoka huko, watanzania wanahitaji kujua yanayoendelea kwenye vyama vya upinzani ili wasirudie makosa ya miaka ya nyuma.

Hali inaonesha mwaka huu wananchi watapiga kura wakiwa na uelewa mpana zaidi ya yaliyopo, yanayoendelea na yaliyofanywa na upinzani na hiyo itakuwa kura ya maamuzi magumu ya kuuondosha upinzani bila gharama yeyote Kama wapinzani wanavyojinasibu
Mleta mada anaumia sana CDM wanavyokimbiwa na watu muhimu.

Bob Marley aliimba unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda mfupi tu lakini huwezi kuwadanganya watu wote muda wote.
 
Back
Top Bottom