The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
- Thread starter
- #41
Nakushukuru sana ndugu Omulasil kwa kunielewa maana kuna watu humu wanahama key ni balaa tupu.Hivi wale mnaopingana na mawazo ya mwanzisha uzi tuwaeleweje?
Kwani anapinga dai la katiba?
Si ametoa na kwanini katiba mpya ni hitaji.
Wazo lake ni nani na kwanini anaipambania. Amesema WANASIASA basi.