Mnaotafuta wanaume mbona hamueleweki

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
704
813
Mwanamke anaandika uzi kwamba anahitaji mume ili aolewe chaajabu unamfata inbox anaaza pozi nyingi.

Unaanza kumtongoza tena sasa chakushangaza apa mtu unataka mume inakuwaje tena ubembelezwa jamani

Hivi nyinyi wanawake mkoje unataka usaidiwe chaajabu ukifatwa DM unaanza pozi hii maana yake nini?

Ukikosa mume mnaanza lalamika ohooo sijui wanaume wakoje sijui wanatuchezea tu sijui wanaume wote mambwa ase acheni hizo ukihitaji mume wewe kuwa mpole.

Ili usaidiwe nadhani mmenielewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usaidiwe wewe au yeye. si mnasemaga kuwa Behind every successfull men there is woman?

sasa wewe ndo unatafuta mafanikio kupitia mgongo wangu, sitaki nikupe wewe!
 
huwa wanatafuta pesa, hapo wanapima waone kama unazo au huna au bahiri. hakuna mume hapo.
 
Back
Top Bottom