Kuna waisrael wengi Sana blacks pale Ethiopia na Nigeria. Mwaka juzi Kama sikosei walikataliwa kurudi Israel coz waisrael wa kizungu hawawakubali wenzao.. hata hivyo Kuna blacks kibao kule ambao ni waisrael,. Actually ni polisi kuleKwa hip hujui Afrika kuna waislaeli? Sasa unabishabisha tu bila uelewa was mbi.Google utapata data wapi Afrika kuna waislaeli wengine hupitishwa hapa kwenye maroli wakizamia SA hatimae hufa kwa kukosavhewa.