Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

Binafsi SI MSUJUDU WA Israel Wala Taifa lolote...

ILA....

Ninawaheshimu na kuwaADMIRE sana WAYAHUDI regardless ya mambo ya DOLA YAO juu ya wengine...hayo ni kawaida kutofautiana katika POLICIES kwani sisi sote ni BINADAMU na mkamilifu ni MWENYEZI MUNGU PEKEE....

Binafsi nina marafiki wengi ambao ni MAYAHUDI waishio marekani na ambao ni RAIA WA MAREKANI.

Watu wengi hawajui kuwa MAYAHUDI wako wengi na wanatofautiana DINI na mitizamo ya KISIASA ya DOLA LAO....

Wako marafiki zangu wa kiyahudi ambao hawana DINI(atheists).
Hapa kuna WANASAYANSI na WALIBERALI NGULI.

Wako marafiki zangu wayahudi ambao wana DINI ya KIYAHUDI lakini ni AGNOSTIC na wasioiishi dini yao kivitendo.

Wako marafiki zangu wayahudi ambao wanafuata DINI YAO stritcly kivitendo...hapa wako wale NETURAI KARTA(wanaoona kuwa David Ben Gurion,Moshe Dayan na kina Benyamin Netanyahu WALIKOSEA na WANAKOSEA kuanzisha TAIFA LAO HURU...wao wanaamini kuwa MUNGU MWENYEZI hajamtuma MKOMBOZI WAO kuwaambia hayo....

Wako marafiki zangu wayahudi WASIO NA DINI kabisa na ambao wanapinga uanzishwaji wa TAIFA HILO.....
 
WAYAHUDI KISIASA wako hivyo nilivyoeleza HAPO JUU....

Unapoongelea kuwa VICTIM wa DOLA ZOTE KUBWA zilizopata kuwepo duniani basi utaonekana ni WA AJABU KULIKATAA hilo....

Wayahudi ndio BINADAAMU waliopata MADHILA makubwa NA YA MUDA MREFU MNO pengine kushinda WENGINE WOTE DUNIANI...

Historia inaonesha kuwa:

1.WALIUAWA na bado WANAUAWA.

2.WALITESWA na bado WANATESWA(huteswa na WANADINI NYINGINE,huteswa na WASIOAMINI DINI,huteswa na WABAGUZI WA SIASA KALI ZA MRENGO WA KULIA na hata baadhi ya wale wa mrengo wa kushoto).

3.WALITENGWA na bado WANATENGWA.

4.WALIBAGULIWA NA BADO WANABAGULIWA.

👆👆👆

Chuki za maadui zao zimegawanyika kama ifuatavyo:

Wale WENYE DINI "wanawaonea" wivu kwa MUNGU MWENYEZI kuwapendelea wayahudi.Hawa wanadini Nyingine nao ni watu DEDICATED kwa MUNGU MMOJA WANAOMUAMINI....ikumbukwe WAKRISTO,WAISLAM NA WAYAHUDI wanaamini MUNGU HUYOHUYO(majina tofauti tu).

Hawa wakristo na waislam historia yao inaanzia katika CHIMBUKO moja na hawa WAYAHUDI.
 
........
Hawa wakristo na waislam kila kundi linapigania KUWA BORA KIDINI ZAIDI YA WAYAHUDI...watu hawa wanabaki KUJISIFU kwa maandishi yao matakatifu(DOGMA)without FACTUAL STANCE(imani haishikiki).

Hii haina maana nao WAYAHUDI WENYE hawafanyi hayo...hasha lillahi...nao pia WANAAMINI KUWA WAO ni CHOSEN PEOPLE kwa rejea ya maandishi yao matakatifu(here the same story WITHOUT ACTUAL FACTS rather than history and dogma kama hao waislam na wakristo).
 
Kwa hiyo mjadala wa KIDINI juu ya JAMII HIZO 3 hautoisha kwani "wote ni walewale tu" wametofautiana MAPOKEO NA TAFSIRI,ikumbukwe wote WANAMUAMINI KUMSIFU NA KUMTAJA SANA baba yao IBRAHIM.....
 
Anayebisha kuwa watu wenye ASILI YA PALE JERUSALEM KIHISTORIA hawana uwezo mkubwa kuzidi wengine katika NYANJA za UVUMBUZI,TEKNOLOJIA,SAYANSI,BIASHARA KUBWA na MFUMO WA FEDHA DUNIANI basi huyo atakuwa ana "MBANGO TU".....

Wayahudi wamewazidi wengine kwa sababu ya HISTORIA YAO YA KUTESWA KUUWAWA NA KUKANDAMIZWA duniani....

Wayahudi wamewazidi wengine(inavyoaminika kuwa WALICHAGULIWA NA MUNGU MWENYEZI)nami pia SILIPINGI HILI...

Kwani wote niliokutana nao maishani ima wawe na dini ama laa bali HUAKISI UKWELI HUO wa AKILI NYINGI,ADABU NA NIDHAMU YA MAISHA(muda,afya,,mali,mazingira),FIKRA TUNDUIZI, DEDICATION YA MAISHA BORA kwa mawanda na upana wa ajabu mno kuliko ETHNICITIES NYINGI(wazungu,waarabu,wachina,wahindi,waafrika hata kama watu hawa wana elimu na utajiri mkubwa).
👆👆👆
Nimejikuta NINAWAPENDA NA KUWAADMIRE SANA wayahudi na si kwamba NINAWAABUDU hasha lillahi....

Allahu a'alam(Mungu Mwenyezi ni mjuzi haswa).



Muuza Al Kasus
Tandale Mtogole
 
Anayebisha kuwa watu wenye ASILI YA PALE JERUSALEM KIHISTORIA hawana uwezo mkubwa kuzidi wengine katika NYANJA za UVUMBUZI,TEKNOLOJIA,SAYANSI,BIASHARA KUBWA na MFUMO WA FEDHA DUNIANI basi huyo atakuwa ana "MBANGO TU".....

Wayahudi wamewazidi wengine kwa sababu ya HISTORIA YAO YA KUTESWA KUUWAWA NA KUKANDAMIZWA duniani....

Wayahudi wamewazidi wengine(inavyoaminika kuwa WALICHAGULIWA NA MUNGU MWENYEZI)nami pia SILIPINGI HILI...

Kwani wote niliokutana nao maishani ima wawe na dini ama laa bali HUAKISI UKWELI HUO wa AKILI NYINGI,ADABU NA NIDHAMU YA MAISHA(muda,afya,,mali,mazingira),FIKRA TUNDUIZI, DEDICATION YA MAISHA BORA kwa mawanda na upana wa ajabu mno kuliko ETHNICITIES NYINGI(wazungu,waarabu,wachina,wahindi,waafrika hata kama watu hawa wana elimu na utajiri mkubwa).
👆👆👆
Nimejikuta NINAWAPENDA NA KUWAADMIRE SANA wayahudi na si kwamba NINAWAABUDU hasha lillahi....

Allahu a'alam(Mungu Mwenyezi ni mjuzi haswa).



Muuza Al Kasus
Tandale Mtogole
Hao notorious Slave traders? Wanaheshimika kwa kukodisha Mashua za kubebea watumwa Duniani kutoka Africa!! walitoa mikopo kwa wafanya biashara ya watumwa Duniani hasa USA! Makampuni makubwa ya Bima ya biashara ya watumwa yaliendeshwa na Waisrael hawahawa!!

Biashara ile iliwanufaisha vizazi na vizazi mpaka leo! ni wabaguzi wa rangi hkn mfano wewe uliona Myahudi mmoja mmoja tu, Askari Farashas ndani ya jeshi la Israel hawaminiwi!!, wanabaguliwa mpaka wengine wanajiua, waafrica walioko Isael wanatengwa, hawapewi kazi nzuri km wayahudi wengine.

Kama pale ni kwao kweli kwa nini wanaongoza Duniani kuwa na Skin cancer tokana na Atla violet sun rays? ikifuatiwa na Austaralia? wazi kwamba ngozi zao (light skin) zina kuwa vizuri kwenye Temperate zones in High Latitude, sababu ya Hypomelanaesia!!

Ni kweli mungu wa Ulimwengu kawapendelea, hii siyo sababu kwa wajuvi kuwakubali, waarabu na waisrael wote ni manzi ga Nyanza! wako vizuri kutengeneza Propaganda kupitia vyombo vyao vya habari Duniani. na wengi wanadanganyika!

Haijawahi kutokea Mzungu amtese mzungu mwenzake kiudhalili hivo! kwanza ni wateke akikaa kwa jua tu mda mrefu anazimia km siyo kufa, Si wana hela hao?? sasa iweje mwenye hela, Mali na viwanda ateswe na maskini? hizo ni propaganda za Ki- Nazi.

Wanatamani kuteswa km wa -Africa walivoteswa ili kupotezea uharamia wao na roho mbaya zao , wapate huruma ya Dunia! Jamii pekee iliyoteswa Duniani kupitiliza mpaka leo inateswa na kudhalilika kusiko semekana ni WA-AFRICA, Mpaka leo imekuwa km fashion watesaji nao ''wanalilia mateso na sisi tuliteswa mtuonee huruma!'' waliteswa na nani???

Utumwa na Mateso makubwa ya kuchukiwa na Jamii za watu matajiri Duniani imefungamanishwa na uteule wa wana wa Mungu Mwenyezi kupitia father Abraham, Biblia na Quran zimetaja neno watumwa mara zaidi ya 3000.

Waisrael wa leo wanajibananisha hapo kwenye Neno la Mungu waonekane wao ni wateule wa Mungu ili kupoteza wengi. Musa alitoa hotuba yake ya mwisho kwa wana wa Israel, Kumbukumbu la torati, alisema Msiposhika neno la Mungu safari hii mtarudishwa Misri kwa mitumbwi, na safari ambayo hamta rudi tena, hawa mbona wamerudi?

Giant of the old ateswe?? Thubutuu!!! mpaka leo yule ni giant hakuna wa kumtisha Duniani, yuko juu ya sheria. anamiliki kila kitu Madini, Ardhi ya Dunia ni vyake!!
 
Mkuu sijui kama una elewa. Acha kula propaganda. Tumia akili kuelewa mambo badala ya kusema tu kumeza.Unakuwa unatumika kusambaza propanda bila kujua. Zucker sio myahudi wa asili wala Mccarthy sio myahudi wa asili.

Kama umenielewa hapo basi utatambua kwamba wayahudi wa asili ni wachache sana na hawana utofauti wa kiakili na wewe. Kama unataka kufanya jambo kubwa unaweza. Chukua tu hatua.
Wewe umefanya nini.
 
Tofautisheni Waisrael na wayahudi.
Waisrael Yesu aliwaambia watatawanyika KONA nne za Dunia. Na huko watakuwa Watumwa na nchi yao itakaliwa na Mataifa mpaka siku ya Mataifa itakapofika.
Wayahudi Wazayuni ni wahuni wachache walio chukua identity ya waizrael wakajipachika wao.
NB: KASOMENI VZR HISTORIA KUJUA NI NA JAMIII GANI ILITAWANYIKA KONA 4 Z Dunia na huko walikuwa watumwa.
Plus:Muda wa Mataifa haijafika bado incase u don't know....so they are still scattered into 4 corner of the earth. Sasa wale wakristo wenzangu na mimi waliojivika mabendera ya sijui nchi inaitwa izrael majumbani mwao Poleni. Maana "Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa"
 
Israel bila ya zaidi ya dollars bilion 10 wanazopewa na USA kila mwaka hawana lolote.

Kwa gulf countries kwa utajiri wa mafuta walionao wana dollars billion ngap??

Hiyo dollar bilion 10 n kitu gan ukilinganisha na utajir wadubai au Qatar, kuwait iran au saudia ??

Hujielew ww!! Kuna kuwa na hela pasipo akili na kuna kua na kidogo na akili nying
 
Kwa gulf countries kwa utajiri wa mafuta walionao wana dollars billion ngap??

Hiyo dollar bilion 10 n kitu gan ukilinganisha na utajir wadubai au Qatar, kuwait iran au saudia ??

Hujielew ww!! Kuna kuwa na hela pasipo akili na kuna kua na kidogo na akili nying
Wanao chimba hayo mafuta, na walio gundua, na wenye utaalamu, na ma-ujanja ya vifaa vya kisasa! na wanunuzi wakubwa,na wanao jua kutumia, na wenye uhitaji hasa wa hayo mafuta siyo wenye nchi hizo tajwa hapo juu!! wao wanapewa Bakshish tu!

Wenye kumiliki hayo mafuta ni nchi za NATO, ikiwa na mwamvuli wa Israel ndo mchimbaji mmiliki mkubwa wa hayo mafuta, na Israel ndiyo NATO mwenyewe haswaaaa! bila kumungunya maneno fungua akili hiyo!!

Sasa mwenye nchi km USA/Israel loote lile apewe tena msaada? ebu fikiria eti wewe ujipe msaada!!!!! fungua akili kijana!!

Tena mataalamu ya kiyahudi kubuhu! yamezagaa tele kwenye hivyo visima vyoote! Muarabu hana ujanja huo wa mafuta na hasemi kitu!! SHELL, RIO TINTO, AGIP, TOTAL nk ni wahayahudi wa leo hao! kila kiongozi wa kiarabu anaepata madaraka analijua hili anakuwa mpole tu!

Akijitia ujuaji ndo km ya Sadamuuu na Gaddafi, wao wenye mafuta wanakuhesabia tu siku na muda! kila kiongozi wa USA anajua nini anafanya kwa masrahi ya nani! kwanza hao viongozi wa USA wengi ni watoto wao! hao hao Mayahudi na wana chaguliwa kwa Damu!

Hata hao Arab countries si ni wajukuu zao hao!!! hizo nchi za kiarabu ni masalia ya Magiriki, Romania ya kale nk, walipewa tu na hao hao Wazungu babu zao, kwa hiyo lao moja ila baadhi ya Waarabu mambumbu wana kauchoyo fulani hivi,

Huwa wanakumbushwa mara kwa mara lkn kuna wanaojua kaukweli na wasio jua wala kutaka kujua hilo wana kaidi km Saddamu, Mohamed Boudia, Gaddafi wanakumbwa na hali ngumu sana, ndo maana waarabu wamewapozea sana wazungu makali,
 
Coca-Cola na Pepsi ni myahudi. Sindano dawa ya ganzi myahudi. Nyuklia atomic myahudi. Google mwanzilishi myahudi. Uber myahudi. Airbnb mayahud. Facebook mayahud DNA myahudi. Whatsapp myahudi. Viber myahudi

Kuna, kipindi 1990s walitaka kuanzisha soda yao Meca cola kwasababu Pepsi na Coca-Cola ni myahudi wakajikuta wanakunywa wenyewe waanzilishi.
Leta ushahidi wa unacho kiongea hacha kutulisha matango pori.
 
Waisraeli wamerusha satellite mpya kwa dhumuni la ujasusi hasa kuichunguza Iran na teknolojia yao ya Mabomu ya Nyuklia.

Ni vipi waihofia Iran huku ninyi mnaowasujudu mnaamini kuwa wana akili sana kuliko mtu yoyote duniani. Kwanini wasiunde vifaa vya kufanya hayo mabomu ya Iran yawe maji ya kunywa?

Mnaosujudu Waisraeli kuwa wana akili sana, mbona sio nchi inaoongoza kuwa na akili zaidi katika top ten countries. Siyo nchi inayoongoza kuwa na smartest people on earth. Sio nchi inayoongoza kuwa na teknolojia mpya duniani.

Sio nchi inayoongoza kuwa na wanafunzi werevu zaidi duniani. Sio nchi inayoongoza kwa research papers duniani.

Sio nchi inayoleta teknolojia mpya zinazoshangaza dunia. Mfano Kompyuta, gari, treni za mwendokasi, ndege, mitandao. Vyote vimeanzia Ulaya na Marekani ndio Israel.

Akili yao ni ya ajabu sana. Mbona sioni kipya walichonacho ambacho Wazungu, Wamarekani hawana? Ninyi mnawapima vipi hizo akili nyingi zilizobarikiwa?
Hao unaowaita "wazungu,na wamarekani"wenye damu ya kiyahudi ni wengi,
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom