Oya vijana Kujifungulia Thread kila mtu akiuliza swali Lile lile tu
Post lini post lini !
Mnachafua Jukwaa la waungwana !
Thread zimezidi sasa !
!
nivema ukatafakari then ukaandika Thread zenye hoja maana hata wewe umechafua jukwaa! wana haki ya kuuliza kamanda we unataka waandike wap? ama una njia mbadala? wapatie

wanaboa sana aiseeOya vijana Kujifungulia Thread kila mtu akiuliza swali Lile lile tu
Post lini post lini !
Mnachafua Jukwaa la waungwana !
Thread zimezidi sasa !
!
Hamjakatazwa kuandika, mtu anaona kuna thread hizo hizo za post tena nyingi tynivema ukatafakari then ukaandika Thread zenye hoja maana hata wewe umechafua jukwaa! wana haki ya kuuliza kamanda we unataka waandike wap? ama una njia mbadala? wapatie
Hiyo inaonesha ni kwa jinsi gani vijana wanavyopenda Elimu!!