Mnaosoma chuo cha NIT

Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
5,410
8,807
Wakuu, heshima kwenu.

Mdau yeyote anaesoma pale Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) course ya ''bachelor degree in Logistics and Transport Management'', please naomba anisaidie kwenye hili lifuatalo:

Nahitaji sana Outline/Module ya course husika. Nataka kujua topics zote wanazo-cover kwenye hiyo course. Just for my own comparison purposes.

Nimejaribu kupitia website yao (www.nit.ac.tz). Hiyo undergraduate course ipo, lakini hawajaweka outline/module yake.

Ahsanteni.

CC: Excel

- Kaveli -
 
Excel , Shekidodo , pitieni hapa tafadhari.
 
hii kwanza pale chuoni kwenu wanatoa master....nataka nikasome

mkuu me sipo pale. Hao niliowa-tag ndo nahisi wanasoma pale, ngoja kama watachangia uzi huu.

Alternatively, cheki website ya chuo hicho for more info unazohitaji
 
Me nipo apa nasoma hiyo kozi mwaka wa tatu nao ila Kwa msaada zaidi soma kwenye NIT PROSPECTUS ya 2015/2015 inapatikana kwenye website ya chuo www.Nit.ac.tz

Mkuu busara4g , thanks a lot kwa busara zako. Nimeiona hiyo prospectus ya 2014/15 - 2015/16. Na nimepata info nilizokuwa nahitaji.
 
mkuu busara4g , kuhusu hiyo course ya 'Logistics and Transport Management' :

Hiyo prospectus inasema kuna Higher Diploma (NTA level 7), inasomwa for TWO Years. Alafu kuna Bachelor Degree (NTA level 8) inasomwa for ONE Year.

Wanasema kwamba hiyo Higher Diploma (NTA level 7) ndo ''entry qualification'' to Bachelor Degree (NTA level 8). So, TWO YEARS (NTA level 7) + ONE YEAR (NTA level 8) = 3 years, ambayo ndo Bachelor Degree kamili.

Kwamba, mnaanza kusoma hiyo Higher Diploma kwa miaka miwili. Mtu atakeishia hapo kwenye miaka miwili (yaani hataki kuendelea), ndo anakuwa awarded hiyo Higher Diploma (NTA level 7).

Yule atakaeendelea kumalizia mwaka wa 3, ndo atakuwa awarded Bachelor Degree (NTA level 8).

JE, hapo nimeelewa sahihi? nambie afu nina swali moja la nyongeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom